• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC.NYASA, ASEMA NYASA BILA UTAPIAMLO AU UDUMAVU INAWEZEKANA

Posted on: July 8th, 2021


Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas, amewataka wananchi kula vyakula vyenye mchanganyiko wa makundi mbalimbali ya  vyakula ili kutokomeza udumavu na Utapiamlo kwa watoto na wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Ameyasema hayo jana wakati akiendesha kikao cha kamati ya Lishe cha Wilaya ya Nyasa kilichofanyika, katika ukumbi wa mikutano ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, chenye lengo la Kuhamasishana na kujua hali ya Lishe wilayani hapa.

Mkuu huyo aliyewakilishwa na Kaimu Katibu Tawala wilaya Bw Paul Lugongo, amefafanua kuwa Wilaya ya Nyasa bila ya Udumavu na UtapiaMlo Inawezekana, kwa kuwa Vyakula vya makundi mbalimbali vinalimwa na kupatikana kwa Wingi Wilayani hapa, hivyo kila mwananchi ahakikishe anazuia udumavu na Utapiamlo kwa kula vyakula mchanganyiko ili kujiletea afya bora na  maendeleo kwa kuwa.

Amewaagiza watendaji wa Kata na Vijiji kuendelea kutoa elimu ya Lishe katika Vikao Vyao na kuhakikisha agenda hiyo inakuwa ya kudumu ili Kutokomeza Udumavu na Utapiamlo.

Akitoa taarifa ya Lishe Wilaya ya Nyasa Afisa Lishe wa Wilaya ya Nyasa Bi  Lucia Lagila amesema Kwa Robo ya nne Hakuna Udumavu  wilayani hapa,  na Utapiamlo na asilimia 0.4.

Aidha amesema Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imefanikiwa kutoa Elimu ya lishe  katika sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye mikutano ya hadhara ngazi ya kijiji na kitongoji na Wagojwa wote wanaopatikana na utapiamlo mkali wanapatiwa matibabu kwa asilimia 100. Na Elimu ya lishe inaendelea kutolewa katika sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye mikutano ya hadhara.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.