• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Sanga ampongeza Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya

Posted on: August 18th, 2023


MKuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Filberto Sanga amempongeza Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya  Kwa  kuipigania Wilaya ya Nyasa ili ipate fedha za miradi ya Maendeleo inayotatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Amezitoa pongezi hizi akiwa katika Ziara ya kikazi Katika kata ya Liuli, Kihagara na liwundi tarehe 17/08/2023 Ziara yenye lengo la kutangaza kazi zinazofanywa na Serikali kusikiliza na kutatua kero Za wananchi.

Amefafanua kuwa mbunge wa Jimbo la Nyasa amekuwa akitafuta pesa, kuisemea bungeni Wilaya ya Nyasa iweze kupata fedha za utekelezaji wa miradi.

Ameongeza kuwa Wilaya ya Nyasa inaendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya afya Elimu na sekta zingine na kukimbia Kwa Maendeleo.

Ametoa wito Kwa wananchi kuhakikisha wanapeleka watoto shule na vyuo vya ufundi stadi VETA Nyasa ili kujipatia elimu itakayowasaidia kukimbia Kwa Maendeleo Wilayani Nyasa.

Kwa upande wao wananchi wameishukuru Serikali Kwa miradi ya Maendeleo na kuomba kuendelelea kuboresha sekta ya kilimo na uvuvi ili waweze kuwa na maisha Bora.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.