• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc-Nyasa TASAF NI Kiboko Cha utatuzi Kero za wananchi

Posted on: May 23rd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Filberto Sanga amesema Mpango wa TASAF ni Kiboko Cha utatuzi wa kero za wananchi.

Ameyasema hayo tarehe 23/05/2023 wakati akikagua miradi ya TASAF ya Barabara,maji,na kivuko,kilichokuwa kero sugu katika Kata ya Kilosa,na Mtipwili Wilayani Nyasa.

MH,Sanga akihihitimisha Ziara yake mara baada ya kutembelea miradi, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania SAMIA SULUHU HASSAN Kwa kutatua kero ya wananchi wa Kata ya Kilosa,na Mtipwili ambao wametatua kero ya Barabara, maji na kivuko katika Kijiji Cha Matenje Kata ya Mtipwili Wilayani Nyasa.

Ameongeza kuwa TASAF kwanza inawashirikisha wananchi ili kubaini matatizo waliyokuwa nayo baadae inatatua Kwa asilimia mia moja Kwa kuwashirikisha walengwa.

Katika hili Kata ya Kilosa Kijijini Nangombo wamefanikiwa,kutengeneza Barabara inayounganisha kitongoji Cha Tembwe na Nangombo Barabara ambayo ilikuwa kero Kwa wananchi.

Katika Kijiji Cha Hundu TASAF imejenga kisima Cha majisafi na salama wananchi walikuwa hawana majisafi hivyo imetatua kero Kwa wananchi na wanaipongeza Serikali Kwa kutatua kero hii.

Aidha katika Kijiji Cha Matenje kivuko kinachounganisha stand ya Matenje na S/m Matenje kivuko kilikuwa ni changamoto kubwa Kwa wanafunzi hasa mvua ikinyesha Kwa kuwa wanafunzi walikuwa hawaendi shule,lakini Kwa sasa ni historia Kwa kuwa wanafunzi wanaenda na kurudi shule muda wote.

MH.Sanga ameipongeza TASAF Kwa Kutatua changamoto mbalimbali Wilayani Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.