• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc NYASA na mikakati ya kuboresha Elimu mwaka 2024

Posted on: December 29th, 2023

Yaliyojiri kikao Cha Mkuu wa Wilaya ya Nyasa na wakuu,wa Divisheni,walimu wakuu s/m na wakuu wa shule za Sekondari watendaji wa Kata na maafisa Elimu Kata.

Mkuu wa Wilaya ya MH. Filberto Sanga Tarehe 28/12/2023 amefanya kikao na walimu wakuu shule za msingi, wakuu wa shule za Sekondari maafisa Elimu kata, watendaji wa Kata na wakuu wa Divisheni na Vitengo katika ukumbi wa shule ya Sekondari Limbo.

Lengo la kikao ni kufanya maandalizi na kuweka mikakati ya kuanza mwaka mpya 2024 katika sekta ya elimu.

Akifungua kikao amewataka wataalam wa elimu kufanya Tathimini ya mwaka uliopita na kumtaka kutatua changamoto zilizojitokeza katika sekta ya elimu na kuweka mikakati ya kuboresha.

Aidha wakati akifunga kikao amewataka washiriki kuhakikisha kuwa,

Miradi ya Maendeleo inasimamiwa na inakamilika Kwa wakati.

Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato Cha kwanza waripoti mara shule inapofunguliwa na walimu wawapokee watoto bila masharti yoyote.

Wafanyakazi watoe huduma Bora Kwa wananchi na kuwa mfano Bora wa serikali.

Aidha ametoa onyo Kali Kwa wazazi walezi ambao hawatawaketa shule watoto.

Kukomesha mimba Kwa wanafunzi Kwa kuchukua hatua Kali Kwa wahusika.

Kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula mashuleni ili waweze kusoma Kwa bidii Kwa kuweka bei elekezi Kwa Wilaya nzima.

Mwisho amewapongeza walimu na wananchi wa Wilaya ya NYASA Kwa kufanya kazi Kwa bidii na kuwahakikishia kuwa Usalama upo hivyo waendelee kuchapa kazi.

Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya amesema watendaji wanatakiwa kufanya kazi Kwa bidii na kutatua changamoto za wananchi amesema hatamvumilia mtumishi mvivu katika Jimbo la Nyasa.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.