• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa, na Mbunge Manyanya, waongoza Usafi wa mazingira Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

Posted on: December 8th, 2023

Wananchi wa Wilaya ya Nyasa wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.filberto Sanga na Mbunge wa wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya tarehe 08/12/2023 wamefanya usafi katika Hospitali ya wilaya ya Nyasa ikiwa ni maadhimisho ya miaka 62  ya uhuru wa Tanzania bara.

MKuu wa Wilaya ya Nyasa MH.Sanga amewashukuru wananchi wote waliohudhuria na  amewataka Wananchi washiriki shughuli mbalimbali za kijamii ili kisheherekea miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania bara.

Aidha mheshimiwa Sanga  amewatembelea wagonjwa wote na kuwapa maji ya kunywa ikiwa ni mchango katika kuadhimisha juma la  Uhuru wa Tanzania bara Wilayani hapa.


Ameahidi  kufanya maboresho kwa kusawazisha eneo lote  la hospitali kwa kushirikiana na Ofisi ya Jimbo la Nyasa ambapo mbunge Stella Manyanya Aliahidi kutoa  kiasi cha shillingi Milioni

5 ili kufanikisha maboresho hayo.


Pia Alipongeza serikali kwa hatua inazochukua katika kuwezesha hospitali ya wilaya ambayo kwa sasa imeanz kupokea wagonjwa mpaka wa nchi jirani ambapo mgonjwa mmoja kutokea msumbiji anaendelea na matibabu hospitali ya wilaya ya Nyasa.

Aidha vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama vimeshiriki katika tukio hilo ikiwa ni pamoja na JWTZ na polisi na wafanyakazi kutoka chuo cha Ufundi nyasa(VETa)

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.