• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa azindua upandaji miti

Posted on: February 17th, 2022

Wilaya ya Nyasa Tarehe 17/02/2022,  imezindua Zoezi la Upandaji miti, ili kulinda Vyanzo vya maji na kuhifadhi Mazingira, Uzinduzi ambao umefanyika katika Viwanja vya IKulu Wilayani hapa.

Akizindua siku ya upandaji miti, Wilayani hapa  Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Kanali Laban Thomas  amewataka wananchi kuhamasika na kupanda miti aina ya Mitiki katika maeneo ya Makazi, na mashamba ili Kuhifadhi mazingira, kutunza vyanzo vya maji na kujiongezea kipato ili waweze kupambana na umaskini, kwa kuwa misitu ya asili imevamiwa na imekutana na changamoto ya kuvunwa mbao na kuni kwa matumizi ya Binadamu.

Ametoa rai kwa wananchi wote kupanda miti katika viwanja vyao na mashamba kwa kuwa miti hii ni ya kibiashara ambayo itawanufaisha wananchi wa wilaya ya Nyasa na Vizazi vijavyo.pia amewataka wakuu wa shule kupanda miti hiyo katika maeneo ya Shule.

Awali akitoa Taarifa ya Upandaji miti ya Wilaya ya Nyasa Afisa Maliasili wa Wilaya ya Nyasa Bugingo Bugingo amesema Lengo la upandaji miti, ya kibiashara Wilaya ya Nyasa kwa msimu huu wameweka lengo la kupanda miti milioni moja na Laki sita na mpaka sasa, tayari miti laki nane imeshapandwa na wananchi wanaendelea kupanda miti hiyo ya Mitiki.

Aidha amesema Sekta ya misitu Wilayani Nyasa inachangamoto ya wananchi kulima katika maeneo ya misitu na vyanzo vya maji, ukataji wa miti ovyo hali inayotishia uwepo wa misitu ya asili, na uchomaji moto, Ametoa wito kwa Viongozi wa kata na Vijiji kusimamia sheria ya  mazingira ili uwepo Kutunza mazingira.

Kwa upande wa wananchi waliohudhuria wamempongeza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kwa kuwahamasisha kupanda miti nao watapanda kwa jitihada ili waweze kuvuka lengo hili kwa kuwa itawafaidisha hapo baadae

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.