• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa azindua siku ya upandaji miti wilaya ya Nyasa, Awataka wananchi kupanda miti Milioni 1.5

Posted on: January 23rd, 2025

YALIYOJIRI SIKU YA UZINDUZI SIKU YA UPANDAJI MITI WILAYA YA NYASA

WILAYA ya Nyasa imefanya uzinduzi  wa siku ya upandaji Miti kiwilaya, Uzinduzi uliofanyikatarehe 23.1.2025 katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa kwa kupanda miti, na Maeneo yapembezoni mwa  barabara za Kilosa Wilayani hapa.

Mgeni rasmi katika uzinduzi wa upandaji miti ni MKuu wa wilaya ya Nyasa mhe. Peres Magiri aliyezindua kwa kupanda miti na kuwahamasisha wananchi na watumishi waliohudhuria uzinduzi na  kupanda miti 400, katika eneo la Hospitali na miti 300 pembezoni mwa barabara ya kilosa.

Akizungumza na wananchi  amewataka wananchi kupanda miti na kuitunza ili Wilaya ya Nyasa iweze kuwa wa kitalii kwa kuwa umepangwa vizuri, na wananchi wa wilaya ya Nyasa wanatakiwa kuhamasika kupanda miti na kuitunza wakati wote ili tuweze kuhifadhi mazingira na kutekeleza agizo la Serikali .

Ameongeza kuwa kila mwananchi anatakiwa kupanda miti na kuitunza katika maeneo yake kwa kuwa kampeni hii inalenga  kupanda miti milioni 1.5

“Ndugu wananchi nichukue fursa hii kuwahamasisha wananchi kupanda miti,leo nimezindua kampeni ya Upandaji miti, kupanda miti ni kitu kimoja, na kinachofuata ni kutunza miti hiyo ili kuweza kuwa na mji wa kitalii ambao kwa hapa Nyasa tuna ziwa ambalo linatangaza Utalii, hivyo tunatakiwa kupanda miti ili kuyahifadhi Mazingira yetu.

Ametoa witokwa wafugaji wa mifugo  kufugia ndani mifugo yao na kutoiacha ikizurura ovyo mtaani na kuharibu miti iliyopandwa, vinginevyo hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

Kwa Upande wake Elisha John meneja wa wakala wa  Misitu Tfs wilaya ya Nyasa amesema wameandaa miti ambayo wanagawa katika kila kata 30,000 hivyo amewahamasisha wananchi kupanda miti hiyom ili waweze kuongeza kipato cha familia.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.