• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

Posted on: April 26th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri Tarehe 26.04.2025  amezindua Kituo kipya cha kuuza mafuta cha Asam Oil kilichopo Mbamba bay Wilayani Nyasa ambacho kinatoa huduma ya mafuta kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Akifanya Uzinduzi huo Mhe.Magiri amewakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza Wilayani Nyasa kwa kuwa Wilaya ya Nyasa ni sehemu nzuri ya kufanya uwekezaji wa kibiashara na Utalii kwa kuwa kuna Fursa nyingi za Uwekezaji.

Amezitaja Fursa hizo kuwa na Biashara mbalimbali za  Kilimo cha mazao mbalimbali, Uvuvi katika Ziwa Nyasa, Utalii wa Vivutio vingi vya Utalii vilivyopo Wilayani Nyasa kama vile Fukwe za Ziwa Nyasa, Visiwa vya mbamba bay Lundo na Puulu, Mlima Mbamba na milima ya Livingstone.

Mhe Magiri Ameongeza kuwa upatikanaji wa kituo hicho cha Mafuta kunaendelea kufungua milango ya Ukuaji wa Mji wa Mbamba bay Wilayani hapa kwa kuwa Wawekezaji, wananchi, na watalii wanakwenda kupata huduma bora ya mafuta aina zote na kutatua changamoto ya upatikanaji wa mafuta ya Dizeli na Petroli ikiwa ni pamoja na kupata huduma ya mafuta bora ambayo itawahakikishia safari zao bila wasiwasi.

Aidha amesema Serikali inaendelea kuwakaribisha wawekezaji na itawapa ushirikiano wa kupata Ardhi na miundombinu mingine kwa kuwa Nyasa inakwenda kuwa lango kubwa la biashara katika ukanda wa kusini, na amewataka wananchi kuwapa ushirikiano wawekezaji kwa kuwa wanafika kuleta maendeleo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kituo cha Mafuta cha Asam oil amemshukuru na kumpongeza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe Peres Magiri kwa Kumpa ushirikiano na kuahidi kuendelea kuwekeza wilayani Nyasa.

Aidha amesema Huduma zitakazotolewa katika kituo hicho ni pamoja na kuuza Mafuta aina zote, uoshaji wa magari, uuzaji wa vipuri vya magari na huduma zingine nyingi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.