• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA azindua kampeni ya upandaji miti.

Posted on: January 16th, 2025

DC NYASA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri amezindua kampeni ya upandaji wa miti katika Kata ya Luhangarasi  ambayo imefanyika katika shamba la shule ya msingi Luhangarasi Wilayani Nyasa.


Kampeni hiyo imeandaliwa na Wilaya ya Nyasa  kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ili kuunga mkono juhudi za Serikali za kutunza mazingira imezinduliwa kwa kupanda miti katika eneo la shule ya Msingi Luhangarasi na kugawa miti Kwa Wananchi wakapande katika maeneo Yao.  

Akimwakilisha mkuu wa wilaya ya Nyasa, Afisa Tawala Wilaya ya Nyasa Bw. Benedicto Nsindagi  amewasisitiza wananchi kuendelea kutunza mazingira kwa kupanda miti na kuitunza ili iweze kukua na kuona matokeo ya upandaji huo.


Amewataka pia kupanda miti ya matunda ili iwasaidie Kwa Lishe na kuondokana na ukosefu wa Lishe duni.


Ametoa wito Kwa Wananchi kuendelea kupanda miti Kwa kipindi chote cha Masika na kushirikiana ili zoezi hilo liwe endelevu kwa kuhimizana kupanda miti mingi na kuitunza ili kuhakikisha mazingira yanaendelea kuboreshwa na isaidie kuleta mvua nyingi zaidi.


Kwa upande  makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Mhe, Walariki Kikasi amewahamasisha Wananchi kupanda miti Kwa bidii Kwa kuwa itasaidia kuongeza kipato Kwa Wananchi.


Kwa upande wake Meneja wa TFS wilayani Nyasa bw. Elisha John amesema wakala wa misitu imetoa Miche 30,000 Kwa ajili ya kuwagawia Wananchi ili wapande na kuongeza kipato ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi, pamoja na Serikali na sera ya Umoja wa Mtaifa katika kuhakikisha suala la mazingira linakuwa namba moja kwa kuwaelimisha wananchi maana ya uhifadhi wa mazingira ili nchi isigeuke jangwa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.