• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa awataka wananchi kulinda na kuhifadhi vyazo vya maji

Posted on: January 6th, 2023

MKUU wa Wilaya ya Nyasa Mh. Aziza Mangosongo amezindua wiki maalum ya upandaji miti katika Wilaya ya Nyasa ambapo jumla ya miti ya asili 3500 imepandwa.

Uzinduzi wa zoezi hilo umefanyika katika  Chanzo cha maji cha Likwilu kilichopo katika Kijiji cha Likwilu Kata ya Kilosa Wilayani ya Nyasa.

Katika chanzo Hicho jumla ya miti ya asili 300 aina ya migwina, imepandwa wakati wa uzinduzi wa kampeni hii na jumla ya miti million moja na laki tano inatarajiwa kupandwa katika msimu huu wa kilimo ifikapo mwezi mei 2023. ya Upandaji Miti

Mkuu wa Wilaya wa Wilaya ya Nyasa amesema wilaya  inatekeleza maagizo ya kuhifadhi vyanzo vya maji, kama yalivyotolewa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ambapo kwa kuanzia amesema wameamua kupanda miti kwenye chanzo cha maji cha Likwilu na kuendelea kwenye vyanzo vyote vya maji na mito yote inayoingiza maji kwenye Ziwa Nyasa.

Akizungumza baada ya kuzindua upandaji miti kwenye chanzo cha maji cha Likwilu Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, aliyewakilishwa na Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa Ndugu Paul Lugongo, amekitaja chanzo hicho kuwa kina umuhimu mkubwa kwa wakazi wa Kata ya Kilosa kwa kuwa ni chazo cha kutegemewa cha maji safi yanayotumiwa na wakazi wa Kata hiyo.

Amewaagiza Viongozi wa Kata na Vijiji kuhakikisha kuwa,vyanzo vyote vya maji vinahifadhiwa na kutunzwa na kuhakikisha mifugo yote haifungwi katika chanzo cha maji.amwewataka Viongozi hao kuwahamasisha wananchi wapande miti na kutunza mazingira.

Awali akisoma Taarifa fupi kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa, Afisa Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira Wilaya ya Nyasa Bugingo Bugingo amesema,lengo la Halmashauri ni kupanda miti million moja laki tano kila mwaka,na  wananchi Wilayani Nyasa wamehamasika kulima kilimo cha miti kwa kuwa wanapata faida kubwa baada ya kuuza mazao ya misitu.

Kwa upande wao wanmanchi waliohudhuria wamesema wamehamasika kulima kuhifadhi vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira kwa kuwa wanaona jisi maji yanavyopungua na kupata adha ya umeme na maji.aidha wanakwenda kuwa mabalozi kwa wananchi wengine ambao hawakuhudhuria.

Imeandaliwa na Netho Sichali

Afisa Habari,Kitengo cha mawasiliano Serikalini

Wilaya ya Nyasa.

NB,picha no.1

Kaimu Afisa Tawala Wilaya ya  Nyasa Bw. Paul Lugongo(mwenye kofia) akipanda miti katika chanzo cha maji cha Likwilu Wilayani Nyasa akizindua kampeni ya kupanda miti Wilaya ya Nyasa.kulia ni Afisa maliasili na Uhifadhi wa mazingira Bugingo Bugingo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.