• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa awataka wananchi kula Vyakula vyenye Lishe Bora

Posted on: October 12th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 12/10/2022 imefanya kikao cha Tathimini ya Lishe Robo ya kwanza mwaka 2022/2023 kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa na kuongozwa na kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh, Aziza Mangosongo ambaye ni Mwenyekiti wa kamati ya Lishe Wilayani hapa.

Akifungua kikao hicho amewataka wanaume kuacha kunyonya maziwa ya akina mama kwa kisingizio kuwa yanaongeza nguvu za kiume, badala yake wawaachie wanyonye watoto ili wapate afya baora, na wao wajikite kula vyakula bora vyenye virutubisho vya kutosha na vya kiasili.

Amewataka watendaji wa kata watoe elimu na kuadhimisha siku za lishe kwa kupika chakula bora, katika kila kijiji na kata ili kuhamasisha kila shule, iwe na klabu ya Lishe ili kuwahamasisha wanafunzi,wazazi na walezi ili kupambana na utapia mlo, na kuhamasisha akina mama kuwanyonyesha watoto kwa muda wa miezi 6 bila kumpa mtoto chakula chochote.

Ameongeza kuwa hali ya Lishe Wilayani Nyasa ni nzuri lakini tunatakiwa kujikita kwenye uhamasishaji jamii  kula vyakula bora tangu ngazi ya vijiji na kata ili wananchi waweze kuwa na afya bora

Aidha ametoa wito kwa viongozi wote wilayani Nyasa kutoa ripoti ya utekelezaji wa hali ya lishe kwa ngazi zote za utawala.

Mkuu huyo pia amesimamia utiaji saini ya mkataba wa Lishe kati ya Watendaji kata na Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa ndugu Jimson Mhagama, na kuwataka kusimamia mkataba huo vizuri kwa kuhakikisha jamii inakula vyakula bora,kwa kuwa mkataba huo kuwa ni maagizo ya Mh, Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan..

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.