• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa awataka viongozi wa Kata Vijiji na Vitongoji kusimamia miradi ya maendeleo

Posted on: July 15th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mhe.Peres Magiri, amewataka Viongozi wa Kata , Vijiji na Vitongoji kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao.

Ameyasema hayo tarehe 15/07/2024 wakati akitembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika Kata ya Kilosa wilayani Nyasa.

Mhe Magiri amefafanua kuwa, Viongozi wote waliopo katika ngazi ya Kata Vijiji na Vitongoji wanatakiwa kushiriki na kusimamia kikamilifu miradi ya maendeleo, inayotekelezwa katika maeneo yao Ili itekelezwa kwa ubora unaotakiwa.

Ameongeza kuwa kamati za miradi zinatakiwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo Ili jamii ijue kinachoendelea katika mradi, na Ione faida ya miradi ikiwa ni pamoja na kutekeleza kwa wakati na mradi utatue changamoto za wananchi.

"Ninawaagiza Viongozi wote waliopo katika ngazi ya Kata Vijiji na Vitongoji wanatakiwa kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika maeneo yao, kwa kuwa ni kazi ambazo wanatakiwa kuzifanya wakati wote"

Mh.Magiri amekagua mradi wa Ujenzi wa madarasa katika shule ya Sekondari Limbo, Ujenzi wa Nyumba na madarasa katika shule ya msingi Likwilu, Ujenzi wa Sekondari ya Kisasa ya Lovund na Ujenzi wa Bweni la wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Kilosa wilayani Nyasa.

Aidha ameridhishwa na Ujenzi wa miradi inayotekelezwa na kuwataka kuongeza Kasi ya Ujenzi Ili miradi itatue changamoto za wananchi.

Amempongeza mhe.Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuipa Wilaya ya Nyasa fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.