• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA Awahamasisha wananchi kupata chanjo ya Corona

Posted on: August 6th, 2021

Mkuu  wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas, leo amewaongoza wananchi wa Wilaya ya Nyasa katika  zoezi la Chanjo ya Corona kwa Wilaya ya Nyasa,  katika Kituo cha afya Mbamba bay Wilayani Nyasa.

 Akizindua chanjo hiyo, amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kujitokeza kwa hiari bila kulazimishwa, kupata chanjo ya Corona itakayosaidia kujikinga na ugonjwa wa  Corona.

Kanali Thomas amefafanua kuwa, Wilaya ya Nyasa imepokea jumla ya Chanjo 2390 na imelenga kutoa kipaumbele kwa makundi maalum, ambayo ni Watoa Huduma za afya, waliokuwa na Miaka kuanzia 50 na kuendelea pamoja na Wenye magonjwa sugu  ya Sukari,presha na kansa.

“Leo ni siku ya Kuanza chanjo kwa Wilaya ya Nyasa, Nachukua Fursa hii kuwahamasisha wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuchanja chanjo hii, ambayo ni muhimu sana, Kinga ni muhimu  sana inayoweza kusaidia kujikinga na Ugojwa wa Corona,na Chanjo hii ni ya Hiari,hatumlazimishi mtu na zinatolewa bure kila mhitaji aje na wajitokeze kwa wingi ka Serikali ni wajibu wetu kuwahamasisha wananchi waijue na wajitokeze kwa wingi”. Alisema Kanali Thomas.

Aidha amwewahamasisha wananchi wa Wilaya ya Nyasa, kujitokeza kupatiwa Chanjo hiyo itakayowasaidia kupambana na Ugonjwa wa Corona. Amesisitiza kuwa Chanjo hiyo inatolewa bure na kila mwenye uhitaji wa kuchanja achanje ili aweze kupata kinga ya kupambana na Ugonjwa huo.

Amevitaja Vituo vinavyotoa chanjo ya Corona kwa Wilaya ya Nyasa kuwa na Kituo cha Afya cha Tingi, Kituo cha Afya cha Mkili na Kituo cha Afya cha Mbamba bay.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.