• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa awafunda wakuu wa shule,awataka kuzingatia maadili na kutatua changamoto

Posted on: March 26th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh, Peres Magiri amewataka wakuu wa shule kusimamia maadili kwa walimu na wanafunzi na kutumia Raslimali zilizopo karibu na shule Ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili.

Ameyasema hayo tarehe 26/03/2024 wakati akifungua mkutano wa kwanza wa umoja wa wakuu wa shule mkoa wa Ruvuma (TAHOSSA) unaofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa VETA Nyasa, wilayani hapa.

Amefafanua kuwa wakuu wa shule ni viongozi muhimu sana, wanaotakiwa kulinda maadili ya walimu na wanafunzi wawapo shuleni,hivyo wanatakiwa kuwalinda wanafunzi na kiwaongoza walimu watimize majukumu yao.

Aidha amewaagiza wachukue hatua stahiki ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa kwa mamlaka zinazohusika kama walimu watabainika kuwa na tabia zinazokiuka Sheria .

Amewataka wakuu wa shule kutumia Raslimali zilizopo karibu na shule zao Ili kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili kama vile upungufu wa madawati kwa kutumia misitu inayomikiwa na vijiji/Tfs Ili  kuvuna mbao na kimaliza tatizo la ukosefu wa madawati.

Amempongeza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania  Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kukupa malimbikizo na madeni ya walimu na kuwatakia wafanye kazi kwa juhudi na maarifa.  

Awali akimkaribisha mgeni rasmi mwenyekiti wa TAHOSSA Mkoa wa Ruvuma amesema lengo la kikao hicho ni kubadilishana uzoefu kwa  wakuu wa shule juu ya kuoresha Taaluma na kukuza ufauli katika  shule zao na kupokea maagizo ya Serikali yenye lengo la kuoresha Taaluma.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.