• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa atoa Siri ya kunufaika na ujenzi wa Bandari ya Mbamba bay

Posted on: April 18th, 2024

MKUU wa Wilaya ya Nyas mh.Peres Magiri, amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa Kufanya kazi za kilimo kwa bidii na maarifa, na kujiandaa jinsi ya kunufaika na ujenzi wa Bandari na miundombinu ya Barabara iliyoboreshwa na Serikali ili waweze kujiletea maendeleo

 Ameyasema hayo tarehe 17/04/2024 wakati  akiendelea na ziara ya Kujitambulisha. kusikiliza kero za wananchi, na kuzitatua katika Vijiji vitatu vya Mkalole, na Kilosa Vilivyopo Kata ya Kilosa na Kijiji cha Mbamba bay Kata ya Mbamba bay  Wilayani hapa.

Mh. Magiri amefafanua kuwa, Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa letu ambalo huajiri asilimia zaidi ya 80 ya wananchi wetu hivyo, wananchi wa Wilaya ya Nyasa wanatakiwa kulima kilimo chenye tija na kuwataka wananchi wa mwambao mwa Ziwa Nyasa kutotegemea Uvuvi pekee, amewataka kulima mazao kama vile Mahindi maharage na Mpunga kwa kuwa mazao yote hayo yanastawi vizuri.

Ameongeza kuwa njia pekee ya kunufaika na barabara ya Mbinga mbamba bay na ujenzi wa Bandari ni kuzalisha na kuongeza uzalishaji wa bidhaa mbalimbali.

Aidha Amewataka Maafisa kilimo kwenda mashambani na kuwahudumia wakulima Ipasavyo.

Akiwa katika Kijiji cha Mbamba bay amewataka wananchi kujiandaa jinsi ya kuitumia bandari ya Mbamba bay itakavyokamilika, kwa kuweka na kutengeneza miundombinu mbalimbali ya maduka makubwa na uzalishaji wa Mazao,kuwekeza kwa kuwa na Viwanja na nyumba ambazo zitatumiwa na wageni kutoka Nchi mbalimbali.

Ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa itaendelea Tarehe 19/04/2024 katika Kata ya Mbaha atapofanya mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata hiyo.

Imeandaliwa na Netho Sichali

Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wilaya ya Nyasa

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.