• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA Atoa Maagizo makali kuboresha Lishe wananchi wa wilaya ya Nyasa

Posted on: December 20th, 2024

YALIYOJIRI MAADHIMISHO YA SIKU YA LISHE WILAYA YA NYASA Tarehe 20/12/2024.

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imeadhimisha siku ya Lishe yenye lengo la kutoa elimu ya Afya kwa wananchi na kuwahamasisha waweze kula vyakula bora ili wajenge Afya zao.

Maadhimisho haya yamefanyika katika Viwanja vya Ofisi ya Afiasa Mtendaji Kijiji cha Kingerikiti, Kata ya Kingerikiti Wilayani Nyasa, na Mgeni Rasmi ktika Maadhimisho hya ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri aliyewakilishwa na Afisa Tawala Wilaya ya Nyasa Bw. Benedicto Nsindagi.

Akihutubia katika Mkutano huo amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuhamasika kulima mazao ya chakula na matunda ili kuboresha Afya zetu na watoto ili kujenga jamii bora.

Amefafanua kuwa wananchi wengi kwa sasa wamejikita kulima mazao ya kibiashara pekeyake kama kahawa, na kusahau kulima mazao ya chakula yanayoboresha Aya zetu hivyo nitoe wito kwajamii hasa tukiwa tunaelekea msimu wa Kilimo kuhakikisha kila shamba linakuwa na mazao ya chakula na matunda.

“Nachukua fursa hii kuwa hamasisha wnanchi wa Wilaya ya Nyasa kulima mazao ya Chakula kwa wingi ili tujitosheleze kwa chakula na matunda na sio kujisahau kulima mazao ya kibiashara peke yake kwa kuwa ili tuweze kuwa na maendeleo mtaji mukubwa ni Afya bora.

Ametoa maagizo ya kila shule ihakikishe inatoa chakula mashuleni na kuhamasisha milo bora kila unapokula chakula.Nawaagiza kuwa kila familia izingatie mlo bora yaani kuwe na mchanganyiko wa vyakula yaani Nafaka matunda na mbogamboga.

Awali akiwakilisha Taarifa fupi ya siku ya Lishe kwa Wilaya ya Nyasa Teresia Mukama Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, amesema Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa inaendelea na uhamasishaji wananchi kutumia vyakula mbalimbali mchanganyiko wakati wote wanapokula na hatimaye kuwa na wananchi wenye afya bora watakaozalisha mali.

Aidha amesema Elimu ya Lishe imesaidia kuboresha afya za wananchi na shule zimekuwa zikihamasika kutoa chakula na kuchoche ari ya kujifunza kwa wanafunzi.

Ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuzingatia kula chakula bora hasa kwa akinamama wajawazito watoto na jamii kwa ujumla.

Maadhimisho haya yamepambwa na Ngoma ya asili za kioda, Muhambo zilizokuwa zikitoa ujumbe wa kuhamasisha Lishe bora, wataalam wa Halmashauri wakitoa Elimu ya Lishe, na upimaji wa maginjwa yasiyoambukizwa, Sukari,Shinikizo la damu

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.