• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa atembelea miradi ya Boost awataka mafundi kukamilisha Kwa wakati na ubora

Posted on: June 5th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh.Filberto Sanga, akiwa na kamati ya Ulinzi na usalama na wakuu wa Idara na Vitengo tarehe 05/06/2023 amefanya Ziara ya kikazi ya kutembelea, na kukagua miradi ya Maendeleo katika kata ya Kilosa na Mbamba bay Wilayani Nyasa.

Miradi aliyotembelea ni mradi wa Ujenzi wa Bwalo la chakula unaogharimu TSH milioni 150 fedha za ruzuku Toka Serikali kuu, mradi wa ukamilishaji wa Bweni la wasichana milion 40 katika Shule ya Sekondari Limbo.

Miradi mingine, ni mradi Boost wa shule mpya ya msingi Kilosa wenye thamani ya TSH milioni 370, ambao uko ngazi ya msingi, mradi wa ukamilishaji wa darasa Moja na Ofisi shule ya msingi Mbamba bay, mradi wa GPE LANES II

TSHS. 22,000,000, pamoja na mradi wa boost katika Shule ya msingi Nangombo, madarasa 2 mradi ambao unaogharimu TSH milioni 77.

Amewataka mafundi kufanya kazi Kwa bidii na kuhakikisha kuwa wanakamilisha Kwa wakati Na ubora ifikapo Juni 30. 2023.

Aidha amewaagiza mafundi Ujenzi wote kuhakikisha wanajenga Kwa kufuata vipimo vilivyotolewa na Serikali na kuzitaka kamati zote kuhakikisha zinatekeleza majukumu yake Kwa kufuata Sheria kanuni na taratibu.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • NYASA bila ukatili inawezekana

    September 26, 2023
  • Dc Nyasa atembelea miradi ya Afya

    September 25, 2023
  • Kituo Cha Afya Kingerikiti

    September 25, 2023
  • Dc Nyasa apongezwa na wananchi utatuzi wa kero

    September 22, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.