• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa asikiliza na kutatua kero -Songambele , Nyasa

Posted on: August 15th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres B. Magiri, ameendelea na ziara yake ya kikazi tarehe 14 Agosti 2024 katika kijiji cha Songambele kata ya Kihagara Wilayani hapa.

 Akiwa katika ziara hiyo amefanya mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Songambele.

Akizungumza katika mkutano huo, amewataka Wananchi kushiriki katika Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa, Mhe. Magiri amewataka Wananchi kujitokeza katika kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura, ambapo kitaifa zoezi hilo limezinduliwa rasmi Mkoani Kigoma tarehe 20 Julai 2024 na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.


Amefafanua kuwa zoezi hilo la Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura linafanyika kwa awamu katika Mikoa na Wilaya. Zoezi hilo limeanza katika Mikoa ya Kigoma,Tabora na Katavi. Hivyo amewataka wanachi kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika daftari hilo pindi zoezi litakapofanyika katika wilaya yetu.


Pia, amewataka Viongozi  wa Vyama vya Siasa kutumia majukwaa yao ya kisiasa kuhamasisha  wanachama wao, kujitokeza katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura na Viongozi wa Dini kutumia nafasi zao za kiuongozi kuelimisha na kuhamasisha  Waumini wao waliofikisha umri wa miaka18  kujitokeza katika kujiandikisha katika Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Mpiga Kura.


Mh.Magiri, amewaasa Wanawake kujitokeza katika kuwania na kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi wa za serikali za mitaa. “Wanawake mnapaswa kujiamini na kugombea nafasi hizo kwani wanawake  wanaongoza vyema wanapopata nafasi za Uongozi.


Vilevile, amewataka wanachi wote kuwa mabalozi wa kufikisha ujumbe wa wananchi wengine ambao hawajapata wasaa wa kuhudhuria katika kikao hiki, kuwa wanatakiwa kijtokeza katika  Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura mwaka huu.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.