• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa apiga marufuku uvuvi haramu Nyasa,msako nyumba Hadi nyumba kuanza Leo.

Posted on: June 17th, 2023

YALIYOJIRI Kikao Cha mkuu wa Wilaya ya Nyasa na wafanyabiashara na wadau wa Uvuvi.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa tarehe 17/06/2023 amepiga marufuku uwepo wa Nyavu haramu na kuwaagiza viongozi wa vijiji, kata na Halmashauri pamoja na vyombo vya Ulinzi na usalama kuhakikisha hakuna uvuvi haramu unaoendelea, Wilayani Nyasa.

 Ameyasema hayo katika kikao Cha Wadau wa uvuvi Cha kujadili Maendeleo ya uvuvi salama na endelevu chenye lengo la kuboresha Uvuvi Wilayani hapa kilichofanyika katika Ukumbi wa Baylive mjini Mbamba bay.

Amefafanua kuwa tatizo la nyavu haramu ni la muda mrefu linaloathiri shughuli nzima za uvuvi na mazao yake,awali akitoa mwezi mmoja kuhakikisha Nyavu zote zinazoua mazalia ya samaki (Nyavu haramu) wazisalimishe na muitikio umekuwa chanya Kwa wananchi, japokuwa Kuna wengine ambao  hawajatii maagizo hayo.

Aidha amewataka wananchi kuendelelea kurudisha Nyavu hizo na msako wa nyumba Hadi nyumba unaanza mara moja.

Aidha amesema lengo kuu la kutokomeza uvuvi haramu ni kuboresha mazingira mazuri ya uvuvi ikiwa ni pamoja na kununua zana Bora za uvuvi na kutoa mikopo Kwa wavuvi na wafanyabiashara ya Uvuvi.

Amewatoa hofu Kwa kuwaambia Serikali Wilayani Nyasa imeandaa mpango wa kuboresha sekta ya Uvuvi na wataanza hivi karibuni kutekeleza.

Wakizungumza katika kikao hicho wadau na viongozi, wamempongeza mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kwa kuhakikisha Uvuvi haramu unakomeshwa katika Wilaya ya Nyasa na kumwambia wanaunga mkono juhudi hizi na watampa ushirikiano.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bw.Khalid A.Khalif amesema atahakikisha anawasimamia watendaji wa Kata na vijiji na kutokomeza uvuvi haramu.

Waalikwa ni Madiwani, Wenyeviti vijiji WEOs, VEOs, Viongozi wa BMUs Wafanyibiashara za huduma ktk uvuvi Wataalamu ws uvuvi, Wakuu wa idara DED, DC & Kamati ya ulinzi

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.