• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA AMPONGEZA MWANANCHI ALIYETOA BURE MAENEO YA KUJENGA SEKONDARI LIWUNDI

Posted on: December 17th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas, amempongeza mwananchi Andrea Kalela  Ndimbo kwa kutoa eneo lake la Hekari 20 na kuipa Serikali kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Liwundi, inayotarajia kuanza kujengwa hivi karibuni katika Kata hiyo ili kutatua changamoto ya Ukosefu wa Shule ya Sekondari katika Kata hiyo.

ameyasema hayo leo wakati akikagua miradi ya ujenzi wa madarasa katika shule za sekondari ya Limbo, Mbamba bay na St paul Liuli miradi ya Uviko 19, na kuongea na wanakamati wanaosimamia miradi na kuwataka kuendelea kukamilisha ujenzi huo ifikapo Desemba 20 mwaka huu.

Kanali Laban amempongeza Rais wa Tanzania , Mh. Samia Suluhu Hassan Kwa kutatua Changamoto ya Ukosefu wa miundimbinu wa Madarasa katika shule za Msingi na Sekondari kwa kuipa fedha Wilaya ya Nyasa, Hivyo tunakila sababu ya kuhakikisha miundombinu hiyo inakamilika haraka iwezekanavyo kwa ushirikiano kati ya wananchi na Serikali.

Ameongeza kuwa wananchi wa Nyasa ni wanajitoa hasa katika maendeleo na amemshukuru kwa dhati bwana Kalela Ndimbo aliyeipa eneo lake Serikali, kwa ajili ya kujenga Shule ya Sekondari Liwundi kwa kuwa Kata hiyo ilikuwa haina Shule ya Sekondari na wanafunzi wanalazimika kutembea umbali mrefu kwenda kusoma shule ya Sekondari Ngumbo.

Aidha amewataka wananchi wengine wa Wilaya ya Nyasa kuiga mfano wa kujitolea aliouonyesha Mr Ndimbo kwa kutoa eneo lake bila masharti yoyote kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Liwundi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.