• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa amkamata Mganga wa jadi aliyewadanganya wavuvi anadawa ya kuosha ya Nyota, kufanya mapenzi Ndani ya ziwa nyasa hawatapata UKIMWI

Posted on: September 3rd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri akiwa na kamati ya Ulinzi na Usalama tarehe O3.09.2024 amemkamata Mganga wa Kienyeji maarufu kwa jina la Askofu, katika Mhalo wa Mbamba bay Wilayani Nyasa, kwa upotoshaji wa kuwauzia dawa wavuvi wa Ziwa Nyasa na kuwaambia zinaosha nyota na wakifanya mapenzi ndani ya maji ya Ziwa Nyasa, hawatapata Virusi Vya Ukimwi.

Mhe. Magiri ametoa Elimu  kwa Wavuvi wa Ziwa Nyasa na kuwataka waachane na uzushi wa Mganga huyo, ambaye ameingia katika Wilaya ya Nyasa,bila kufuata taratibu za kujisajili na kuwa na vibali kutoka kwa mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Aidha ameliagiza jeshi la polisi Wilayani Nyasa kumuhoji mtuhumiwa na kumchukulia hatua za kisheria akipatikana na hatia.

Amefafanua kuwa Wavuvi wanatakiwa kuchukua Tahadhari juu ya Ugonjwa wa ukimwi ambao unaambukizwa kwa kufanya ngono bila kutumia kinga na kamwe hakuna mgamga ambaye anadawa za kutibu wala kuzuia ugonjwa wa UKIMWI.

Amewataka wavuvi kuzingatia maadili kwa kufanya kazi ya uvuvi kwa bidii na kamwe maneno ya mganga huyo ni ya kitapeli na hayanamashiko.

Hata hivyo baadhi ya wavuvi  ya wamemshukuru na kumpongeza Mkuu wa wilaya ya Nyasa kwa kutoa ufafanuzi huo na kusema kuwa, hawamfahamu mganga huyo na hajawahi kuwapa dawa hizo na wanaelimu ya kutosha juu ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na wanaelewa umuhimu wa kufanya kazi kwa juhudi,wataendelea kuvua samaki na wataendelea kujikinga na gonjwa hatari la UKIMWI.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.