• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC nyasa akagua miradi 2, Apongeza TARURA,TAKUKURU

Posted on: January 20th, 2023

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Aziza Mangosongo Tarehe 19/01/2023 akiwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Nyasa, ametembelea na kukagua miradi (2) ya maendeleo,ya Ujenzi wa Barabara za Mitaa katika Mji wa Kitalii wa Mbamba bay, na Mradi wa Ujenzi wa Ofisi  ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilayani Nyasa.

Akikagua Mradi wa Ujenzi wa barabaraza mitaa katika Mji wa kitalii wa Mbamba bay,  wa kiwango cha Lami Mh. Mangosongo amesema ameridhishwa na kazi ya ujenzi wa barabara hizo, baada ya kukuta ujenzi uko asilimia 70 na Mkandarasi yuko kazini akitekeleza majukumu yakena kuipongeza TARURA kwa Utekelezaji wa miradi bora ya barabara Wilayani Nyasa.

Amewataka wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) Wilayani Nyasa kuendelea kumsimamia mkandarasi, anayetekeleza Mradi ili aweze kukamilisha kwa muda uliopangwa.

Awali akitoa Taarifa ya Mradi wa Ujenzi wa Barabara za mitaa katika Mji Mkongwe wa Mbamba bay Wilayani Nyasa,  Meneja wa TARURA  Wilayani Nyasa Mhandisi Thomas Kitusi amesema, Mradi wa Ujenzi wa Barabara za mitaaa Mbamba bay utagharimu Tsh Milionio 500 ambazo zimetolewa na Serikalika kupitia Mfuko wa Jimbo.

Aidha Mradi huu unajenga barabara za Mitaa ,Mbamba bay kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya barabara ili watalii wanavyofika waweze kuvutiwa na Mji wa Mbamba bay.

Mradi huu ni wa Km. 01 na unatarajia kukamilika Mwezi Februari 2023 Mwaka Huu na kukamilika kwa barabara za Mitaa katika mji wa Mbamba bay kutatatua changamoto ya ukosefu wa barabara katoika mji huo.

Katika Ujenzi wa Ofisi ya TAKUKURU wilayani Nyasa iliyofikia hatua ya msingi, Mkuu huyo ameipongeza Ofisi  kwa kujenga Ofisi katika Wilaya ya Nyasa na kusema kuwa kukamilika kwa ofisi hiyo kutapunguza malalamiko ya wananchi, na uendeshaji wa ofisi kwa kuwa kwa sasa hawana jengo la Ofisi.

Awali akitoa Taarifa ya Ujenzi Kamanda wa TAKUKURU Wilayani Nyasa Dioniz Slivanus amesema Mradi uko ngazi ya Msingi, na kukamilika kwa Ujenzi wa Ofisi kunatarajia kutatua kero ya ukosefu wa Ofisi ya TAKUKURU Wilayani Nyasa.

Announcements

  • Tangazo la ugawaji wa vibanda vya standi ya kilosa Wilayani Nyasa October 28, 2022
  • Tangazo la watumishi na wananchi waopenda kimiliki mashamba ya korosho litoromeo November 03, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • View All

Latest News

  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha siku ya Sheria,DC Nyasa ajitambulisha na kutoa Wito kwa wakazi wa Nyasa

    February 01, 2023
  • KISIWA cha Lundo Wilayani Nyasa.

    January 27, 2023
  • Utalii wa Fukwe za Asili Wilayani Nyasa

    January 27, 2023
  • MLIMA MBAMBA fahari ya Nyasa

    January 26, 2023
  • View All

Video

TAKUKURU Nyasa yatambulisha Program ya TAKUKURU Rafiki
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.