• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

CHANGAMOTO YA UPUNGUFU WA VITABU SEKONDARI YA MBAMBA BAY YATATULIWA.

Posted on: April 11th, 2021

Serikali Wilayani Nyasa,  kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania, Imekabidhi Vitabu 712 vyenye thamani ya zaidi ya  Tsh milioni thelathini, katika Shule ya Sekondari Mbamba bay,  ili kutatua changamoto ya upungufu wa Vitabu vya masomo mbalimbali.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabela Chilumba Amekabidhi vitabu hivyo jana katika Ukumbi wa Kassim Majaliwa Uliopo katika Shule ya Sekondari Mbamba Bay,  Wilayani hapa,  na kumpongeza Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Mwl Rogers Semwalekwa   kwa kufanya Ufuatiliaji katika Shule zote za Sekondari Wilayani Hapa, na Kubaini changamoto mbalimbali zilizopo katika shule,  na kizipatia ufumbuzi kwa haraka.

Mh. Chilumba ameongeza kuwa  mwl Semwalekwa ni mfano wa kuigwa na walimu, wafanyakazi wengine, Wakuu wa Idara zingine kwa kuwa amekuwa mbunifu wa kuzifuatilia shule zake, kubaini changamoto zinazowakabili na kuzitatua kwa haraka kwa  kutumia ubunifu wake wa kwenda Taasisi ya Elimu Tanzania, na kupatiwa Vitabu Hivyo.

Aidha ametoa wito kwa  wakuu wa Idara na vitengo Wilayani hapa, kuwa wabunifu na kutatua changamoto zinazowakabili katika maeneo yao na kuyapatia ufumbuzi.

Awali Mkuu wa Shule ya Sekondari Mbamba Bay Mwl Zawadi Msambwa akitoa Taarifa Fupi Kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa,  amesema kupatikana kwa vitabu hivyo kutawaongezea wanafunzi ari ya kujifunza kwa kuwa awali kulikuwa na Upungufu wa Vitabu hasa vya kidato cha Tano na Sita, kwa hiyo wanaishukuru Taasisi ya Elimu Tanzania na Afisa elimu Sekondari Nyasa kwa Juhudi zake za kutatua Changamoto katika Shule zake.

Aidha amevitaja vitabu alivyopokea kuwa ni Vitabu vya Chemistry,Biology,Kiswahili, na Mathematics.

Naye afisa Elimu Sekondari Wilayani hapa amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu mitihani, na kuahidi kuendelea kutatua changamoto mbalimbali katika shule zote Wilayani Nyasa ili waweze kupata elibu bora.

Kaimu Mkurugenzi mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw. Eiphrem Kawonga amempongeza kwa Dhati Afisa Elimu Huyo na kumtaka aendelee na juhudi hizo za kutatua changamoto zinazoikabili Idara ya Elimu Sekondari Kama alivyofanya.

Kwa upande wao, Wanafunzi wa Sekondari Mbamba bay Wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kwa kutatua changamoto Mbalimbali katika shule yao na kuahidi kusoma kwa bidii na kuitangaza vema Shule hiyo kwa kutoa Elimu bora na Kuwaandaa wanafunzi katika Soko la ushindani wa Elimu na Ajira.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.