• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA AKABIDHI PIKIPIKI MBILI KWA VYOMBO VYA WATUMIA MAJI NGUMBO NA LITUHI

Posted on: January 23rd, 2025

MKUU wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri  tarehe 23.01.2025 amekabidhi pikipiki 2 zilizonunuliwa na Serikali kupitia Mradi  wa Maji wa Ngumbo awamu ya kwanza, kwa  Vyombo viwili vya Watumia Maji NGULIWSO cha Kata ya Ngumbo na Liwundi  na LILIMBAWSO Cha Kata ya Lituhi, Linga na Mbaha.

Makabidhiano haya yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, na kuhudhuriwa na wananchi watumishi na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.

Akikabidhi pikipiki hizo Mkuu wa wilaya ya Nyasa amemshukuru Rais DKT Samia Suluhu Hassan kwa kuipa Wilaya ya Nyasa pikipiki 2 na Miradi ya Maji ambayo inatatua changamoto za wanachi hivyo basi, amewataka wanaopokea pikipiki wakazitunza na kuzitumia kwa manufaa ya wananchi.

Ameongeza kuwa Nawakabidhi pikipiki hizi zikatatue changamoto za wananchi kwa kukimbilia kutengeneza bomba kama maji yamekatika na kutoa huduma bora kwa wananchi.

“Ninawakabidhi pikipiki hizi zikatumike vizuri kwa kutatua changamoto kwa wananchi kwa kukimbilia kutengeneza bomba, maji yakikatika na kutoa huduma bora kwa wananchi. Zisitumike kubebea abiria na kupata fedha  kwa manufaa ya mtu binafsi  tukimbaini tutamchukulia hatua kali za kisheria”.

Awali akitoa Taarifa fupi Mhandisi Masoud Samila, Meneja wa Ruwasa Wilaya ya Nyasa amesema pikipiki hizi zinakwenda kutatua kero ya usafiri kwa vyombo viwili vya watumia maji na kuongeza Usimamiziwa miradi ya maji, kwa kuwa Wilaya ina vyombo 8 vya watumia maji na kwa sasa vyombo 5 kati ya 8 havina usafiri.

Mhe. Cosmas Nyoni Diwani wa wa Kata ya Ngumbo kwa niaba ya wananchi wake ameishukuru Serikali kwa kutatua changamoto ya Maji na usafiri Ngumbo , amesema wananchi wa Kata ya Ngumbo wanaishukuru sana Serikali kwa kutatua kero mbalimbali.

Mbunge wa Jimbo la nyasa Mhandisi Stella manyanya, amesema Serikali inaendelea kutatua changamoto za wananchi katika Jimbo la Nyasa na amewataka wananchi  kumshukuru na kuwanae  bega kwa bega Rais DKT Samia Suluhu Hassan kwa kuwa anaipenda Nyasa na anatatua changamoto za wananchi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.