• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA UGANI AWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI MAZAO

Posted on: June 20th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 20.06.2022 Imegawa pikipiki  22 kwa maafisa Ugani ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Hafla fupi ya Ugawaji pikipiki, imefanyika katika Viwanja vya Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, na Mgeni Rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas akiwa akiwa ameambatana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Wilaya ya Nyasa.

Akikabidhi Pikipiki hizo, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, kwa kutatua Changamoto za usafiri kwa maafisa kilimo, kwa kuwa walikuwa wanachangamoto kubwa ya usafiri lakini kwa sasa amewataka, maafisa hao kufanya kazi kwa bidii na kuacha visingizio kwa kuwa wameshapewa usafiri hivyo wahakikishe wanatatua changamoto za wakulima na kuongeza tija hasa katika uzalishaji wa mazao mbalimbali.

Aidha amewataka kuzitunza pikipiki hizo na kuhakikisha wanazitumia kwa maslahi ya wakulima wa Wilaya ya Nyasa na hatimaye kutengeneza utofauti kipindi hawana usafiri na sasa, baada ya kupata usafiri hasa katika kuongeza Uzalishaji wa Mazao.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Nyasa Crodivic Duwe amewataka maafisa ugani kuongeza ari ya kufanya kazi kwa kuwa serikali imewapa motisha ya usafiri hivyo kwa kuwa Wilaya yetu ni ya kilimo waongeze uzalishaji wa mazao mbalimbali.

Awali akitoa Taarifa Fupi, Mkuu wa Idara Kilimo Umwagiliaji na Ushirika Pasifiki Mhapa  ameishukuru Serikali, kwa kutatua Changamoto ya Usafiri kwa maafisa Kilimo Nchini, kwa kuwa walikuwa wakishindwa kuwafikia wakulima wengi ipasavyo, lakini kwa sasa wanaenda kufanya mabadiliko makubwa kwenye sekta ya kilimo kwa kuwa kwa sasa watakuwa na uwezo wa kuwafikia wakulima wengi zaidi.

Maafisa kilimo waliopewa pikipiki wamesema watazitunza pikipiki na kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kuwa awali walikuwa na changamoto ya usafiri kwa sasa watafanya kazi kwa bidii na kuwafikia wakulima wengi zaidi.

Imeandaliwa na Netho C.Sichali

Afisa Habari Nyasa DC

0767417597.

Announcements

  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • Serikali yawaita kazini kada za Ualimu na Afya

    June 27, 2022
  • WANANCHI wa Kata ya Liwundi Wilayani Nyasa wampongeza Mbunge Manyanya

    June 27, 2022
  • DC NYASA AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAAFISA UGANI AWATAKA KUONGEZA UZALISHAJI MAZAO

    June 20, 2022
  • YALIYOJIRI maadhimisho siku ya Mtoto wa Afrika Wilaya ya Nyasa

    June 16, 2022
  • View All

Video

DC. Nyasa akabidhi pikipiki kwa Maafisa Ugani
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.