• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa akabidhi pikipiki 06 kwa Watendaji Kata

Posted on: February 20th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 20.02.2023, Imegawa pikipiki 06 kwa maafisa Watendaji Kata kwa ajili ya  kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Hafla fupi ya Ugawaji pikipiki, imefanyika katika Viwanja vya Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, na Mgeni Rasmi alikuwa ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Filbetho Sanga akiwa akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa.

Akikabidhi Pikipiki hizo, Mh, Sanga amemshukuru na Kumpongeza  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, kwa kutatua Changamoto mbalimbali za Watumishi akianza na kuwapandishia Mshahara na Posho za kujikimu na sasa anatatua changamoto ya usafiri kwa  Watendaji Kata, kwa kuwa walikuwa wanachangamoto kubwa ya usafiri.  amewataka,  kufanya kazi  kwa bidii kwa  kuwa wameshapewa usafiri hivyo, wahakikishe wanatatua changamoto za wananchi na kuongeza tija katika ukusanyaji wa mapato na kutoa huduma bora kwa wananchi.

Aidha amewataka kuzitunza pikipiki hizo na kuhakikisha wanazitumia kwa maslahi ya wananchi wa Wilaya ya Nyasa, na hatimaye kutengeneza utofauti kipindi hawana usafiri na sasa, baada ya kupata usafiri hasa katika kuongeza Ukusanyaji wa Mapato ya Serikali.

.Awali akitoa Taarifa Fupi, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw.Bernard Semwaiko ameishukuru Serikali, kwa kutatua Changamoto ya Usafiri kwa maafisa hao Nchini, kwa kuwa walikuwa wakishindwa kuwafikia wananchi  wengi ipasavyo, lakini kwa sasa wanaenda kufanya mabadiliko makubwa kwenye sekta ya Utawala.

Ameongeza kuwa Pikipiki hizo 06 Zimetolewa na Serikali kutoka Chanzo cha Kodi za Majengo na  wamepewa Watendaji Kata, ambazo ziko Pembezoni na zenye mapato kidogo na amezitaja kata hizo kuwa ni Mipotopoto,Liparamba,Upolo,Linga,Lituhi na Mbaha,kwa awamu ya kwanza na Amesema Serikali itaendelea kuo pikipiki zingine hadi kuwafikia Watendaji kayika kata zote 20 za Halmashauri ya Nyasa.

Na matarajio ya Halm ashauri ni kuona kuwa watendaji hao wanakusanya mapato ya Halmashauri na kuboresha utendaji kazi baada ya kupewa vitendea kazi hivyo.

Kwa Upande wao watendaji wa kata wamesema watazitunza pikipiki na kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kuwa awali walikuwa na changamoto ya usafiri kwa sasa watafanya kazi kwa bidii na kuongeza mapato na kuwahudumia wananchi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.