• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dc Nyasa akabidhi gari kwa RUWASA Wilaya ya Nyasa, awataka madereva kutunza magari.

Posted on: August 25th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres  Magiri, amekabidhi gari jipya kwa Wakala wa Maji na usafi wa mazingira Vijijini (RUWASA), Wilaya ya Nyasa gari iliyotolewa na Wizara ya Maji kwa lengo la kutatua kero ya usafiri kwa mamlaka hiyo.

 Hafla ya makabidhiano imefanyika tarehe 23/08/2024 katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa na kuhudhuriwa na watumishi pamoja na wananchi wa Wilaya ya Nyasa.


Akikabidhi gari hiyo mhe. Magiri amewataka madereva kutunza magari kwa kuendesha vizuri na kuipa huduma stahiki na kufanya matengenezo Kila inapohitajika.

Amempongeza Dereva wake  Geofrey Claudius kwa kuitunza vizuri gari yake, mpaka Sasa inaonekana bado ni mpya ukilinganisha na magari yaliyonunuliwa pamoja .

Ameishukuru Serikali kwa kuipa Wilaya ya Nyasa gari ambalo linakwenda kutoa huduma ya usafiri wa uhakika na kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama kwa kutimiza  malengo ya Serikali, ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2025, wananchi wote waishio Vijijini katika Mkoa wa Ruvuma, wanafikiwa na kupata huduma ya maji safi na salama kwa asilimia 85 na ifikapo 2030 wanapata huduma maji kwa asilimia 100.


Hivyo amewataka watumishi kuendelea kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kuwa wameongezewa kitendea kazi Cha gari, na kutunza gari hii Ili iweze kudumu na kutoa huduma ya usafiri kwa muda mrefu.

Awali akitoa Taarifa fupi Katibu wa Mbunge wa Jimbo la  Nyasa. bi Anes Mihera kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya, amesema Serikali imetoa gari hiyo baada ya Mbunge kuomba akiwa bungeni, mara baada ya kuona Ruwasa ilikuwa Haina gari ya uhakika kuifikia miradi inayotekelezwa wilayani Nyasa na kuwataka watatue kero ya maji safi na salama katika Jimbo la Nyasa.

Amesema ataendelea kutatua kero za wananchi wa Jimbo la Nyasa na kuhakikisha miradi ya maji inaendelea kuwepo na inakamilika kwa wakati.

Meneja wa RUWASA Wilaya ya Nyasa Mhandisi Masoud Samila ameishukuru Serikali kwa kutatua changamoto ya usafiri katika mamlaka hiyo na atahakikisha anaitunza gari hiyo na kujenga miradi na kusimamia kwa umakini Ili kutoa huduma Bora ya maji safi na salama kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.