• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa aipongeza Tanzania Project kujenga shule na kuikabidhi Serikali

Posted on: May 7th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh Peres Magiri, amewapongeza wadau wa Maendeleo Tanzania Project kutoka Nchini Norway kwa Kujenga Shule Mpya ya Sekondari ya Lovund, inayojengwa Linda, Kata ya Kilosa Wilayani Nyasa.

Pongezi hizo amezitoa Tarehe 06/05/2024 akiwa katika Ziara ya Kikazi ya kukagua na kutembelea Miradi ya Maendeleleo katika Kata ya Kilosa Wilayani Nyasa.

Akizungumza wakati anakagua Mradi huo amesema, Wadau wa maendeleo wa Tanzania Project wanafanya kazi kubwa ya kuiletea Maendeleo Wilaya ya Nyasa kwa kujenga miundombinu ya vyoo, madarasa na kutatua changamoto za miundombinu mbalimbali katika shule mbalimbali wilayani hapa.

Amefafanua kuwa tayari wamejenga shule ya Msingi Lovund ya Mchepuo wa Kiingereza iliyopo Linda, na kuikabidhi Serikali. Ni Shule pekee ya Mchepuo wa Kiingereza Wilayani hapa na inatoa huduma ya Elimu kwa wakazi wa Wilaya ya Nyasa na kutatua changamoto wa ukosefu wa shule ya Mchepuo wa Kiingereza, kwa sasa wanaendelea na ujenzi wa shule ya Sekondari Lovund kwa gharama zao na ikikamilika itakabidhiwa Serikali ili iweze kuiendesha.

Kukamilika kwa shule hii kumetatua changamoto ya msongamano wa wanafunzi uliokuepo katika shule ya Sekondari ya Limbo.

Ameongeza kuwa wadau hawa Tanzania Project wanafanya kazi kubwa na nzuri ya kuijenga wilaya ya Nyasa katika Sekta ya Elimu, AFya na Maendeleo ya jamii kwa ujumla.

“Nichukue fursa hii kuwapongeza sana wadau wa maendeleo wa Tanzania Project wanafanya kazi kubwa ya kuboresha  miundombinu mbalimbli ya kijamii,Hivyo tunawapongeza na tunaomba waendele na moyo huo , Pia nitoe wito kwa wadau wengine wa maendele kuja wilayani nyasa na kushirikiana na wananchi kwa ajili.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.