• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa aipongeza RUWASA Mkoa wa Ruvuma,Aitaka kuendelea kutoa Huduma Bora kwa Wananchi

Posted on: August 16th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres  Magiri, amewataka watumishi wa Mamlaka ya Maji na usafi wa mazingira Vijijini (RUWASA), kuendelea na ushirikiano katika utendaji kazi ili kuhakikisha jamii iishio Vijijini inapata huduma ya maji safi na salama.

 Ameyasema hayo, tarehe 15-08-2024 wakati akifungua kikao kazi cha siku tatu, cha Watumishi Wa RUWASA Mkoa wa Ruvuma,katika Ukumbi wa St Vicent Mhalo, kilosa Wilayani Nyasa, chenye lengo la kuwajengea uwezo na kubadilishana uzoefu kwa watumishi hao.

Mhe. Mgiriri amefafanua kuwa, lengo la Serikali ni  kuhakikisha wananchi waishio Vijijini wanapata maji safi na salama ikiwa ni pamoja na kufikia malengo ya Serikali, ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2025, wananchi wote waishio Vijijini katika Mkoa wa Ruvuma, wanafikiwa na kupata huduma ya maji safi na salama kwa asilimia 85 na ifikapo 2030 wanapata huduma maji kwa asilimia 100.

Hivyo amewataka watumishi kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia weledi, taaluma na fani walizosomea ili kuhakikisha wanatekeleza miradi yenye ubora na endelevu na yenye tija kwa wananchi.

“Endeleeni kufanya kazi kwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma, kutekeleza majukumu kwa kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo pamoja na kuhakikisha wateja wanapewa kipaumbele katika utoaji wa huduma na kuthamini mawazo mapya katika utendaji wa kazi”.

Ametoa wito kwa wafanyakazi  kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya  mabadiliko ya mfumo mpya wa malipo ya Serikali, kupitia Vyombo vya utoaji huduma ya maji ngazi ya jamii (CBWSOs) kwa kutumia namba ya udhibiti (control number) ambayo imepelekea kuwa na usimamizi mzuri wa matumizi ya fedha za umma.

Aidha ameipongeza RUWASA kwa kutekeleza majukumu yaipasavyo ikiwa ni pamoja na kujenga na kusimamia miradi ya maji na kutoa Huduma bora kwa wananchi.

Awali afisa Utumishi wa RUWASA Mkoa wa Ruvuma Bi Siwazuri Mwinyi amsema maagizo aliyoyatoa atayasimamia ili kutoa huduma bora kwa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.