• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA ACHANGIA MIFUKO 30 YA SARUJI

Posted on: July 16th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Bi. Isabela Chilumba  jana, ameukabidhi uongozi wa shule ya msingi Chiulu mifuko thelathini (30),  ya Saruji katika shule ya msingi, Chiulu iliyoko katika kijiji cha Chiulu Kata ya Mtipwili Wilayani hapa ili kutatua changamoto ya ukamilishaji darasa la awali.

Akikabidhi saruji hiyo, katika shule ya Msingi Chiulu Bi Chilumba amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii na walimu wafundishe bila kujali changamoto zinazowakabili kwa kuwa Serikali inaendelea kutatua changamoto mbalimbali ambazo zipo katika sekta ya Elimu.

Bi Chilumba alifafanua kuwa alipofika katika mahafali ya kumaliza darasa la saba aliambiwa kuwa, kuna changamoto ya ukamilishaji wa darasa moja la awali ambalo wananchi wamejenga kwa nguvu zao.  wanauhitaji wa saruji ya mifuko thelathini (30) ili waweze kukamilisha na nikaahidi nitawapeni mifuko Mnayohitaji na leo ninawakabidhi mifuko mliyohitaji

Ninawataka mkamilishe kwa haraka darasa hili ili wanafunzi hawa wasome katika mazingira mazuri ili waweze kufaulu na walimu wafundishe kwa bidii.

Kwa upande wao wananchi wa kijiji cha Chiulu walimpongeza na kumshukuru Mkuu wa Wilaya kwa kuwatatulia changamoto ya mifuko ya saruji ambayo ilikuwa kero kwa wananchi wa kijiji hicho na kuahidi watatumia mifuko hiyo ya saruji  vizuri na na kumwomba azidi kuttua changamoto zingine zinazowakabili wkazi wa kata ya Mtipwili

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.