• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Nyasa aagiza Msako Mkali Nyumba hadi nyumba, kwa wazazi wasiowapeleka shule wanafunzi

Posted on: January 19th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 19/01/20223 imefanya kikao cha Tathimini ya walioripoti na kuanza Elimu ya awali na Darasa la kwanza  katika  Shule za Msingi, na Kidato cha kwanza katika shule za Sekondari Wilayani Nyasa.

  Kikao hiki kimefanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba, Mjini Mbamba bay na kuwakutanisha Viongozi wa Vijiji,Kata, Wakuu wa Idara na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa. Mgeni Rasmi katika kikao hicho ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Aziza Mangosongo

Akifungua Kikao, Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa amesema Lengo la Kikao ni kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliochaguliwa kwenda Sekondari, na waliotimu umri wa kuanza Elimu ya  awali na darasa la kwanza  wanaanza na kuacha Visingizio.

Amewataka Viongozi wa Vijiji, Kata na Halmashauri kwa ujumla kuendesha Msako wa Nyumba hadi nyumba na kutowaachia walimu peke yao.

Amefafanua kuwa, Viongozi hawa ndio wanaoishi na jamii na kuwafahamu  wakazi wao, na kujua kuna watoto wanaotakiwa kwenda shule.

“Ninyi Viongozi wa Vijiji na kata yaani  Watendaji wa Vijiji, na Kata mnaishi na wananchi na mnawafahamu wanafunzi wote waliofaulu kuingia kidato cha kwanza, na waliotimia Umri wa Kuanza darasa la Awali na la kwanza Wilayani Nyasa, hivyo tunatakiwa kuhamasisha jamii kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanakwenda shule.

Mh.Mangosongo amempongeza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa Kuipa miradi ujenzi wa Madarasa Wilaya ya Nyasa na kutatua kero za miundombinu ya elimu.

Awali Wakitoa Taarifa ya wanafunzi walioripoti na kuanza masomo katika Shule ya Msingi, Mkuu wa Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi Mwl Hossein Mghewa amesema Wanafunzi walioanza masomo ni asilimia 101 kwa darasa la Awali na Asilimia 102 kwa darasa la kwanza hivyo amemhakikishia Mkuu wa Wilaya kuwa bado wanaendelea na uhamasishaji, lengo ni kuhakikisha kuwa wanavuka lengo kwa asilimia nyingi.

Akiwakilisha Taarifa ya Elimu Sekondari Kaimu Mkuu Divisheni ya Elimu ya Sekondari Mwl Aus Limia amesema asilimia 44 ya wanafunzi ndio walioanza masomo ya kidato cha kwanza hadi kufikia tarehe 18/01/2023.

Kikao kimeazimia kufanyika kwa uhamasishaji na elimu kupitia vikao vya WDC na Vijiji na kuanza Msako wa Nyumba hadi nyumba na kuhakikisha wanafunzi wote ndani ya wiki mbili wawe wameripoti shuleni kwa asilimia 100.

Kwa upande wake Viongozi wa Vijiji na Kata wamemhakikishi Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kufanya msako na kuhakikisha wanafunzi hao wanaenda shule na zoezi hili kuwa endelevu.

Imeandaliwa na

Netho Sichali

Afisa Habari,Kitengo cha Habari Serikalini.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.