• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC Magiri awataka wananchi kujiunga na kupata Ujuzi VETA NYASA

Posted on: November 29th, 2024

Yaliyojiri Mahali ya Kwanza VETA Nyasa

Chuo cha Ufundi Stadi Veta Nyasa kimefanya Mahafali yake ya kwanza mahafali yaliyofanyika hivi karibuni  katika Viwanja vya Chuo hicho na Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo ni Mkuu Wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri .

Mhe. Magiri amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kusoma chuo cha VETA Nyasa kwa lengo la kupata  ujuzi utakaowasaidia kujiajiri, na kuongeza kipato kwa mtu mmoja, kaya na Taifa kwa ujumla. Uwezo wa Chuo hiki ni kuchukua wanafuznzi zaidi ya 160, lakini mpaka sasa chuo hiki kinadahili wanafunzi 80 hivyo basi tunatakaiwa kutumia fursa hii kupata ujuzi.

Mhe Magiri Ameongeza kuwa Elimu ya Ufundi haina mipaka ya umri cheo hivyo basi wananchi wote tunatakiwa kupata ujuzi ambao ambao utatusaidia kuongeza kipato cha ziada na kuboresha maisha yetu,

“ Nimejipa ubalozi wa kukitamgaza Chuo cha Ufundi Stadi Veta Nyasa, Sijaridhika na jinsi wananyasa tunavyokitumia Chuo hiki kwa kuwa bado tunakuwa na nafasi nyingi za kusoma lakini hatutaki kuleta vijana wetu. Nachukua fursa hii kuwataka viongozi na wananchi kwa ujumla wake kuhakikisha tunawaleta vijana wetu hapa wapate ujuzi wa Umeme,ushonaji,Magari, ujenzi, Useremala na Udereva.

Aidha amewapongeza wanafunzi ambao walikuwa wanaonyesha jisi mashine zinavyofanya kazi katika Karakana ya Ufundi magari, Umeme, na Ujenzi na kusema kuwa Chuo hiki kinatoa Elimu bora na wanachuo wameiva tayari kabisa kwenda kujenga Taifa la Tanzania.

Aidha amewasihi wahitimu kwenda vijijini na kutumia ujuzi wao kwa kuanzisha vikundi  kwa kufanya shughuli walizosomea na Serikali itawaunga mkono kwa kuwakopeshha Asilimia kumi ya mapato, badala ya kwenda mijini kupoteza muda.

Awali Mkuu wa Chuo hicho ameiomba Serikali kuendelea kuboresha miundombinu ya Umeme kwa kuwa kuna mashine za kisasa zinazotumia umeme mwingi zaidi ombi ambalo limepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa na limeanza kufanyiwa kazi.Aidha amewataka wazazi walezi kuwaleta wanafunzi katika chuo hicho kwa kuwa bado kinanafasi za kutosha kuwapa ujuzi wakazi wa Wilaya ya Nyasa.

Kwa upande wao wahitimu Wameridhishwa na elimu inayotwameomba kuboreshewa maeneo ya michezo na kuwataka vijana wengine kuja kujiunga na chuo hiki kwa kuwa kinatoa mafunzo bora.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.