• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC CHILUMBA AKABIDHI CHETI CHA USAJILI LUHANGARASI SEKONDARI

Posted on: April 9th, 2021

Mkuu wa wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabela Chilumba, amewataka  wananchi Wilayani hapa,kushirikiana na  kutatua Changamoto zinazowakabili hasa za Ujenzi wa Miundombinu ya Shule bila kuisubiri Serikali.

Ameyasema hayo jana wakati akiweka Jiwe la Msingi, katika Shule mpya ya Sekondari Luhangarasi , na Kukabidhi Cheti cha Usajili kwa Uongozi wa Kata Ya Luhangarasi Tarafa ya Mpepo, Wilayani Nyasa.

Akizungumza na wananchi wa Kata hiyo Mkuu huyo, amewapongeza wananchi, kwa kushiriki kikamilifu ujenzi wa Miundombinu  ya Madarasa manne, Jengo la Utawala na matundu nane ya Vyoo yaliyotumia zaidi ya Sh Milioni 60, Zilizochangwa na wananchi ,  kwa Lengo la Kutatua changamoto ya ukosefu wa Shule ya Sekondari, katika Kata hiyo na kuwalazimu wanafunzi kutembea umbali wa km 09 kufuata Sekondari katika Kata jirani  ya Kingerikiti.

Chilumba amefafanua kuwa, wananchi wa Kata ya Luhangarasi ni Mfano wa kuigwa katika Wilaya ya Nyasa, kwa kuwa mara baada ya kuona wana tatizo la ukosefu wa shule ya Sekondari waliamua Kushirikiana na kujenga Shule yao kwa Asilimia mia moja, bila kuisubiri Serikali.

Aidha ametoa wito kwa Wananchi wa Wilaya ya Nyasa Kuiga Mfano huu, wa kujitatulia matatizo yao wenyewe ili kujiletea maendeleo kwa haraka.

Awali akisoma Taarifa ya Shule hiyo Kaimu Afisa Mtendaji Wa Kata hiyo amesema Ujenzi huo ulianza mwaka 2019 kwa vikao halali na vilivyowashirikisha wananchi, wakakubali kutatua changamoto ya watoto wao kutembea Umbali wa km 09 kufuata Shule, hali iliyokuwa ikiwapa usumbufu mkubwa kuweza kufuatilia maendeleo ya shule.

Aidha wananchi hao wameupongeza Uongozi wa Wilaya ya Nyasa, kwa juhudi zao za kuhakikisha shule hiyo inapata namba ya Usajili namba S.5524 Luhangarasi sekondari na kuwapeleka wanafunzi kuanza masomo katika shule hiyo mapema mwaka huu 2021, kwa wanafunzi 188 wa Kidato cha kwanza kudahiliwa, shuleni hapo.

Naye Ofisa Elimu Sekondari  Wilaya ya Nyasa Mwl Rogers Semwalekwa , amewapongeza wananchi hao kwa kutatua changamoto ya ukosefu wa Shule, na ameunga mkono kama Halmashauri kwa kutoa Vifaa vya kufundishia vyenye thamani ya Tsh 1,200,000, pia tayari shule imeingizwa kwenye mfumo wa malipo ya Pranrep kwa ajili ya kupewa Fedha za ruzuku za elimu bila malipo, kutoka Serikalini, na tayari akaumti ya Shule imefunguliwa, na kuendelea kutatua changamoto mbalimbali Shuleni hapo ili kuunga mkono jitihada za wakazi wa Luhangarasi.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama amewapongeza wananchi hao  na kuwataka kuendeleza juhudi hizo ili kutatua changamoto zingine na kuwaahidi Serikali inaendelea kushughulikia Utatuzi wa Changamoto zingine zinazoikabili shule hiyo.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.