• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DAWA YA KUTOJUA KUSOMA KUANDIKA NA KUHESABU IMEPATIKANA Nyasadc

Posted on: January 21st, 2025

MRATIBU BOOST NYASA ASEMA DAWA YA KUTOJUA KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU IMEPATIKANA.

Mratibu wa Mradi wa BOOST Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, mkoani Ruvuma Gotfried Mapunda, ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia kwa kuwezesha walimu wa awali kupata mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika ufundishaji na ujifunzaji.

Mapunda amesema kuwa mafunzo hayo yatawasaidia walimu kuboresha mbinu za kufundishia na kutengeneza zana za kufundishia, pamoja na kuisimamia miongozo inayohusiana na elimu ya awali.

Ameongeza kuwa walimu walioshiriki mafunzo hayo watakuwa chachu ya kuhamasisha wenzao kufuata taratibu sahihi za ufundishaji wa elimu ya awali. Mafunzo haya yamepangwa kufanyika kwa awamu mbili, yakianzia kwa walimu wa shule za awali na baadaye kusambazwa kwa shule zote wilayani humo na kumaliza tatizo la Wanafunzi wasiojua , kusoma, kuandika na kuhesabu.

“Mara baada ya mafunzo haya walimu watakuwa chachu ya kufikisha ujumbe kwa walimu wengine na tatizo la Wanafunzi kutojua kusoma kuandika na kuhesabu kuwa historia.,” amesema Mapunda .“Tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Sita kwa kutuletea fursa hii muhimu.”


Mwalimu Eliana mwanakulya   mwalimu wa Awali  Shule ya Msingi Mango, na Mwalimu Tindwa wa shule ya msingi Undu Kata ya Mtipwili wamesema kuwa mafunzo  waliyopata yamewawezesha kuwa na maarifa thabiti ya kutoa elimu bora kwa Wanafunzi na kuwahamasisha kuipenda shule na kutumia zana Bora za kufundishia ili kutimiza malengo Yao.


Aidha wamebainisha kuwa matarajio ya mafunzo haya ni kuona mabadiliko chanya katika utekelezaji wa elimu ya awali kwa kushirikisha wadau wa shule na jamii ili kufanikisha lengo la mradi wa BOOST.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.