• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Daraja hili liitwe MH. Filberto Sanga-wananchi Kata ya Ngumbo

Posted on: October 29th, 2023

"Daraja hili liitwe MH. Filberto Sanga"

Wananchi wa Kata ya Ngumbo Wilayani Nyasa wamebadili jina la daraja la Mto litolomelo, na kuliita  kuwa Daraja la MH. Filberto Sanga ikiwa ni kuthamini mchango mkubwa wa mkuu wa Wilaya ya NYASA Kwa kazi kubwa ya Maendeleo anayoifanya Wilayani Nyasa.

Wameyasema hayo tarehe 28/10/2023 wakati Mkuu wa Wilaya alipotembelea na kukagua miradi ya Barabara ambayo ni Daraja la Mto Litolomelo, kata ya linga Wilayani Nyasa na Ujenzi wa Barabara ya mango-songambele miradi inayotekelezwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mjini Wilayani hapa.

Diwani wa Kata ya Ngumbo Mh.Severine Nyoni,(Lindongo) amesema wananchi wa Kata ya Ngumbo wamefurahia sana utatuzi wa kero ya daraja la Mto huo ambao umetatua kero ya wananchi ambao walikuwa wakishindwa kufanya shughuli za Maendeleo, na wanafunzi walikuwa wakishindwa kuvuka kwenda shule na kusababisha utoro.

Toka Ujenzi huu uanze wewe ni kiongozi wa kwanza kuja katika daraja hili hivyo wananchi waneamua daraja hili liitwe Daraja la MH. Filberto Sanga, "huku akishangiliwa na Wananchi "

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa amewataka Wananchi kuitunza miundombinu hii na kushirikikiana na mafundi ili waweze kukamilisha Kwa wakati.

Amesema Serikali inaendelea kutatua kero za wananchi na amewataka Wananchi kumuunga mkono Rais SAMIA Suluhu Hassan Kwa kufanya kazi Kwa bidii.

Awali akisoma taarifa Ya mradi huo meneja wa TARURA WILAYANI NYASA Mhandisi Thomas Kitusi amesema Mradi huu unatekelezwa mwaka wa fedha 2023/2024 Kwa kutumia fedha za Mfuko wa Barabara na unalenga kuboresha huduma ya mawasiliano Kwa wananchi wa Kijiji, Cha litolomelo na Kilindi.

Mradi unatekelezwa na mkandarasi Ms/sivikwa company ltd Kwa thamani ya TSH 73,973,500 kiwango Cha zege na urefu wa mita 16 na kazi imefikia asilimia 50.

Wananchi wa Kata ya Ngumbo wameipongeza Serikali Kwa kuipa miradi ya Maendeleo kata ya Ngumbo na kufanya ipendeze.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.