• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

CHANJO ya UVIKO 19 KUTOLEWA VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA YA AFYA

Posted on: September 24th, 2021

 

Mkoa wa Ruvuma leo umeanza kutoa mafunzo ya siku mbili ya Utoaji wa chanjo ya UVIKO 19 kwa Timu za uendeshaji wa Huduma za afya Mkoa (RHMT) na Halmashauri(CHMT) pamoja na maafisa habari wa Halmashauri.

Mganga mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dkt Jairy Khanga amesema, lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha wataalamu wa afya kwenda kutoa huduma za chanjo kwa wananchi kwa kutoa elimu ya kuwaelimisha wananchi umuhimu wa chanjo ya UVIKO 19, kwa kuvifikia vituo vyote vya kutolea Huduma na Kata na Vijiji.

Dkt Khanga ameongeza kuwa mafunzo ya siku mbili kwa wataalamu wa afya, watawezeshwa njia na mbinu za kuelimisha jamii pamoja na kupambana na changamoto zitakazopatikana kutoka kwa wananchi aweze kutoa elimu ya kuwaelimisha wananchi na waweze kuchanjwa.

‘’Wananchi hawana taarifa sahihi kuhusu chanjo ndio maana mwamko wa wananchi katika swala la kuchanja ni dogo hivyo tunatakiwa kuimarisha dhana ya mawasiliano na kuwafanya wananchi wengi waweze kupata tarifa sahihi na kubadilisha fikra potofu walizonazo  na wakubali kuchanja alisema” Dkt Khanga

Hata hivyo aliwataka  watoa huduma za chanjo katika mkoa wa Ruvuma kushiriki mafunzo ya siku mbili ya kujengewa uwezo katika utoaji chanjo katika Halmashauri za wilaya zote za mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kuwafanya wananchi wahamasike katika zoezi la kuchanja kwa kuwa moja ya changamoto iliyopo katika jamii ni elimu juu ya chanjo hiyo haijatolewa katika jamii.

Aidha  amempongeza Afisa Afya na mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru  bwana Arnold Herman na mratibu wa elimu ya afya kwa jamii wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Ally Yassin Ndambile kwa kuhamasisha jamii kuhusu kupata chanjo hiyo.

William Reuben kiongozi wa timu ya kitaifa ya chanjo katika mkoa wa Ruvuma amewataka washiriki wa mafunzo kuleta matokeo katika kazi watakazotakiwa kwenda kuzifanya ili kutekeleza lengo la serikali la kuhakikisha wananchi wake wanapata chanjo .

Mada zinazofundishwa katika mafunzo hayo ni mada 8 ambapo kwa siku ya kwanza mada ya sayansi ya jamii,mawasiliano juu ya chanjo ,mabadiliko ya tabia , utaratibu na usimamizi shirikishi kwa jamii na mada zingine 4 zitafundishwa siku ya pili.

Mwisho.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.