• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Bilioni 96 kujenga Barabara ya Lami kuanzia Ruanda Hadi Ndumbi

Posted on: January 26th, 2024


SERIKALI imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 96 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Lituhi kuelekea Bandari ya Ndumbi yenye urefu wa kilometa 50 kwa kiwango cha lami.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati akizingumza na wananchi wa Lituhi mara baada ya kukagua barabara hiyo ambayo ipo katika hatua za kusainiwa mkataba.

Bashungwa amesema ujenzi wa barabara hiyo utawezesha meli za mizigo hasa makaa ya mawe ziweze kupakia kupitia Bandari ya Ndumbi kwenda sehemu mbalimbali za nchi yetu  na nchi jirani za Malawi na Msumbiji.


Ameongeza kuwa barabara hiyo inaunganisha Mkoa wa Ruvuma na Njombe kupitia Daraja la Ruhuhu ambayo itafungua fursa za maendeleo na biashara.


Bashungwa ameagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kumsimamia Mkandarasi atakayepatikana kwa karibu ili mradi huo ukamilike kwa viwango.

Kwa upande wake, Mbunge wa Nyasa, Mhe. Eng. Stella Manyanya, amemuomba Waziri huyo kuwajengea angalau madaraja maeneo korofi hasa katika vipindi vya mvua kwani imekuwa Kero kwa wananchi wake.


Eng. Manyanya ameomba kipande cha barabara kutoka Mbambabay hadi Chiwindi (km 45) ipewe kipaumbele kwa kuwa ni barabara muhimu na ya Ulinzi ambayo inaunganisha nchi ya Tanzania na Msumbiji, hivyo anaomba ipewe kipaumbele.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.