• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

BILIONI 2.45 kujenga barabara Nyasa.

Posted on: August 28th, 2021

 Wakala wa barabara za  Vijijini na Mijini  (TARURA) Wilaya ya Nyasa, katika mwaka wa fedha wa 2021/2022 imetengewa Bajeti ya tsh Bilioni 2.45 kwa ajili ya  Matengenezo ya barabara katika Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Meneja wa Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini TARURA, Mhandisi Thomas Kitusi ameliambia jana Baraza la madiwani katika Ukumbi wa Kepten John Komba, Mbamba bay wakati akitoa taarifa fupi ya utekelezaji wa shughuli za uendaji kazi wa wakala hao Wilayani Wilayani hapa.

Mhandisi Kitusi amefafanua kuwa, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 TARURA Nyasa imetengewa kiasi cha tsh milioni 950 kwa ajili ya miradi ya maendeleo na  kutoka mfuko wa barabara na milioni 500 kwa ajili ya maendeleo kupitia Jimbo kutoka Serikali kuu na nyongeza ya bajeti kutoka tozo ya mafuta wamepewa Tsh Bilion moja.

Amezitaja barabara zitakazojengwa ni Ujenzi wa barabara ya Lami kuanzia Bomani hadi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa,na matengenezo ya barabara ya Luhindo Mpepo Darpori, kwa kuwa ni barabara yenye changamoto kubwa na ni barabara ya mpakani. Amitaja barabara nyingine kwa ni Kingerikiti Lumeme, kikolo hadi Mtipwili ambayo ni barabara fupi ya kutoka Tarafa ya Mpepo kuja Nyasa.

Aidha amesema fedha nyingine ameelekeza maeneo ambayo hayajawahi fikika, Tangu Uhuru kama Njambe kwenda  Ndonga, na kutoka Mbaha kwenda Mpopoma ambako hawana mawasiliano ya barabara.

Ametoa wito kwa Madiwani kuanisha barabara za kipaumbele na wainishe mapendekezo ili ziweze kufanyika kazi.

Kwa upande  wao Baraza la madiwani limetoa wito kwa Meneja huyo kushirikiana na uongozi wa Kata na Vijiji ili kuweza kuainisha barabara ambazo wanazitumia na wangependa zitengenezwe wakati wa uandaaji wa utekelezaji wa miradi ya barabara kwa kuwa kuna uhitaji mkubwa wa matengenezo ya barabara na madaraja katika kata zote za Wilaya ya Nyasa.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.