• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

BENKI YA NMB YATOA MSAADA HOSPITALI YA WILAYA NAMTUMBO

Posted on: March 10th, 2021

Benki ya NMB  imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa ajili ya hospitali ya wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma vyenye thamani ya shilingi milioni kumi.

Akikabidhi vifaa katika hafla iliyofanyika katika hospitali hiyo mjini Namtumbo,Meneja wa NMB Kanda ya Kusini Janeth Shango amevitaja vifaa hivyo kuwa ni vitanda vitano vya wagonjwa na godoro zake.

Vifaa vingine amevitaja kuwa ni vitanda viwili vya kisasa vitakavyotumika wakati wa kujifungua akinamama na mashuka 25 kwa ajili ya vitanda hivyo.

“Kwa miaka kadhaa sasa NMB imekuwa ikisaidia miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi kwa kujikita zaidi kwenye miradi ya elimu kwa kutoa madawati na vifaa vya kuezekea na kwenye afya kwa kutoa vitanda na magodoro yake’’,alisema.

Amesisitiza kuwa kupitia jamii,NMB inatambua kuwa wanapatikana wateja wake wengi,kwa hiyo kurudisha sehemu ya faida kwa jamii ni utamaduni wa Benki hiyo ambayo imezifikia wilaya zote nchini kwa asilimia 100.

Mgeni rasmi katika hafla hiyo ,Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Sophia Kizigo ameishukuru Benki ya NMB kwa msaada huo ambao amesema umeongeza vitanda  katika hospitali hiyo ambayo imeanza kulaza wagonjwa na kwamba kabla ya msaada huo ilikuwa na vitanda kumi tu.

“Tuliamua kuanzia mwaka jana kuanza kulaza wagonjwa,hivyo tulianza na vitanda kumi,leo NMB wametuletea vifaa vya milioni kumi kwa ajili ya kusaidia hospitali yetu,tunawashukuru sana’’,alisisitiza Kizigo.

Hata hivyo amesema NMB katika wilaya ya Namtumbo  imekuwa karibu na shule kwa kutoa madawati na vifaa vya ujenzi na imetoa mikopo kwa ajili ya wakulima wa tumbaku.

Mary Ponera Mkazi wa Namtumbo ameishukuru NMB kwa msaada wa vitanda ambavyo amesema ni muhimu kwa wajawazito wakati  wanafika kujifungua katika hospitali hiyo.

Benki ya NMB katika nchi nzima ina matawi 225,mashine za kutolea fedha ATM zaidi ya 800,wakala zaidi ya 6,000 na idadi ya wateja zaidi ya milioni tatu.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.