• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

BARAZA la Madiwani Nyasa lapitisha Bajeti ya Bilioni 3.92 za TARURA

Posted on: January 29th, 2022

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Tarehe 28.1.2022 limepitisha Bajeti ya shilingi bilioni 3,928,000,000   kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilayani Nyasa, katika  kikao kilichofanyika , Ukumbi wa Kepten John Komba Uliopo Mbamba bay Wilayani hapa.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Stewart Nombo,  ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la Madiwani amesema kuwa, Baraza hilo limeidhinisha mpango na bajeti ya maendeleo, kwa mwaka wa fedha 2022/2023, na kusema kuwa  bajeti hii imelenga kutatua kero za miundombinu ya barabara, ikiwa ni pamoja na kutekeleza Miradi ya Maendeleo, na kutoa wito kwa  madiwani  kutoa ushirikiano kwa wataalamu katika usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Kata zao.

Aidha Baraza hilo limempongeza Meneja wa TARURA Wilayani hapa Mhandisi Thomas Kitusi kwa kusimamia na kutatua kero mbalimbali za barabara Wilayani hapa na kutoa wito kuendelea na ujenzi wa barabara na kuwatumia wakandarasi wenye mitambo ya uhakika na kuachana na wandarasi ambao hawana vifaa vya kisasa.

Akiwasilisha Mapendekezo ya  bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023, Meneja wa TARURA Wilayani hapa, Mhandisi Thomas Kitusi  amefafanua kuwa, TARURA inatarajia kufanya matengenezo,ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami na ujenzi wa madaraja kutoka vyanzo vya Fedha za Mfuko wa barabara, Tsh million 950,450,000, Fedha kutoka Mfuko mkuu wa Serikali Jimbo Milioni 500 na Fedha za tozo za mafuta Tsh bilioni moja na Fedha za Mfuko wa barabara Maendeleo tsh Bilioni 1.47 na kufanya Jumla ya  Sh bilioni 3.928,000,000,

Mhandisi Kitusi amesema kuwa fedha za Mfuko wa Barabara zitajenga madaraja 5 na Km 95 zitatengeneza maeneo korofi nay a kawaida wakati Fedha za Tozo na Mafuta zitatengeneza barabara kiwango cha changarawe Kilometa 40.23 na madaraja 3.Fedha za Mfuko Mkuu wa Serikali-Jimbo zitajenga Kilometa moja ya barabara ya kiwango cha lami Mbamba bay kwa gharama ya milioni 500.

Aidha Fedha ya mfuko wa barabara- Miradi ya maendeleo zitatengeneza kilometa 21.4 na madaraja 2.

Imeandaliwa na Netho C. Sichali Afisa Habari Nyasadc.

Announcements

  • Tangazo la nafasi za kazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa December 01, 2025
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.