• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

BARAZA madiwani lapitisha bajeti ya Tsh Bilioni 27,653,395,441.07 kwa mwaka wa Fedha 2023/2024

Posted on: February 14th, 2023

Baraza  la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa,  tarehe 14/02/2023 limepitisha Bajeti ya  yenye thamani ya shilingi bilioni 27,653,395,441.07,  kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya Halmashauri, katika  kikao kilichofanyika , Ukumbi wa Kepten John Komba Uliopo Mbamba bay Wilayani hapa.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Stewart Nombo,  ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la Madiwani amesema kuwa baraza  limeidhinisha mpango na bajeti ya maendeleo, kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kwa kuwa bajeti hii imelenga kutatua kero mbalimbali za wananchi, ikiwa ni pamoja na kutekeleza Miradi ya Maendeleo, na kutoa wito kwa  madiwani  kutoa ushirikiano kwa wataalamu katika usimamizi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Kata zao.

Akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2023/ 2024,  Kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji Wilaya ya Nyasa, Mkuu wa Divisheni ya Mipango na uratibu Bw. Chrstopher Ngonyani amesema, kuwa bajeti hiyo, inalenga kutekeleza Program mbalimbali zilizopangwa kufanyika katika Halmashauri. Kati ya Kiasi hiki Tsh 16,000,575,951.07 ni matumizi ya kawaida,Tsh 15,196,594951.07 ni mishahara na Tsh 803,981,000.00 ni matumizi mengineyo (OC)Tss 10,068,182,000.00 ni matumizi ya miradi ya maendeleo (Tsh 4,110,371,000.00 ni fedha za ndani na Tsh 5,957,811,000.00 ni fedha za nje na Tsh 1,447,627,190,000.00 ni fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri, kati ya fedha hizo tsh 994,923,000 ni mapato halisi(proper Own Source Tsh 452,704,190.00 ni mapato lindwa na michango ya nguvu ya jamii ni tsh 137,000,000.00.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama,  amewataka madiwani wa Wilaya ya Nyasa kusimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao, kwa kushirikiana na wananchi, kutekeleza miradi hiyo na kusema kuwa Miradi hii inatekelezwa kwa fedha za walipa kodi, kwa hiyo ni jukumu la kila kiongozi kusimamia fedha hizo ili kujiletea maendeleo.

“waheshimiwa  madiwani ninawataarifu kuwa kila ninapokuandikia na kukupa taarifa za kukuletea fedha katika eneo lako, ni jukumu lako kusimamia, kuwashirikisha wananchi, na kutekeleza miradi kwa ubora wa hali ya juu, kwa kuwa fedha zinazotekeleza miradi hii ni kodi za wananchi wetu na Mh Rais amezileta ili zitatue changamoto za wananchi hivyo kila kiongozi anatakiwa kuwajibika kwa nafasi yake” .

Naye Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya,  amesema Wilaya ya Nyasa inakusudia kujenga uwanja wa kisasa mkubwa wa michezo ili kuongeza utalii na kuhamasisha michezo .

Aidha  amepongeza Mkurugenzi wa Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama, na Wataalamu wake, walioshiriki kuandaa mpango na bajeti  ambayo imezingatia vigezo  muhimu vyenye lengo la kutatua Kero za wananchi Wilayani Hapa

Naye Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Filbetho sanga alijitambulisha katika baraza hilo na kuwaeleza kuwa ameanza kazi katika Wilaya ya Nyasa na ameagiza Uwepo wa ulinzi na Usalama na kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanaripoti haraka kwa asilimia 100.

Imeandaliwa na.

Netho Sichali

Afisa Habari  Wilaya ya Nyasa.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.