• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Baraza la wafanyakazi Halmashauri ya wilaya ya Nyasa yampongeza Ded Nyasa mikakati, Stahiki za watumishi na kutatua Kero za Wananchi

Posted on: February 19th, 2025

Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Tarehe 19/02/2025 imefanya kikao cha Baraza la wafanyakazi kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Nyasa.


Lengo la kikao hicho ni kujadili na kupitisha mpango wa bajeti ya Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Kwa kipindi Cha mwaka 2025/2026 kikao ambacho kimehudhuriwa na  Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mkoa, Wilaya,  na wajumbe wawakilishi kutoka ngazi ya Matawi na Wakuu wa Divisheni na Vitengo.

Kikao hiki kimeongozwa na mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi ambaye pia ni Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif, ambaye amewataka watumishi kufanya kazi Kwa bidii na kukusanya mapato ipasavyo ili kuweza kuendesha Halmashauri yetu Kwa kulipa stahiki mbalimbali za watumishi na kutekeleza miradi ya maendeleo wilayani Nyasa.


Ameongeza kuwa Kila mwajiri anafurahia sana kuona raslimali watu, inastawi katika Taasisi yake hivyo basi tunatakiwa kufanya kazi Kwa bidii ya kutatua Kero za Wananchi pamoja na kukusanya mapato ipasavyo.


Kwa upande wake wajumbe wa kikao wamempongeza Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Nyasa bw. Khalid Khalif Kwa kutatua changamoto za watumishi hasa Kwa kulipa stahiki kama vile Uhamisho,likizo na kugharamia Mafunzo ya watumishi, kuongeza ukusanyaji mapato.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.