• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

BARAZA LA MADIWANI NYASA LAMPONGEZA MBUNGE NYASA

Posted on: May 14th, 2020

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, limempongeza Mbunge wa jimbo la Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi Stela Manyanya kwa kutatua changamoto mbalimbali za jimbo la nyasa ikiwemo kukabidhi gari jipya la kubeba wagonjwa la kituo cha afya Mbamba-bay.

Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti  wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa,  Mh. Alto Komba wakati Akizungumza kwa niaba ya madiwani wote wa Wilaya ya Nyasa katika baraza la Madiwani la Wilaya ya Nyasa lililofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba ,mbamba-bay Wilayani hapa.

Bw Komba alifafanua kuwa, Baraza la Madiwani Wilayani hapa  linampongeza sana Mh Mbunge wa Nyasa kwa kazi nyingi na nzuri, za kutatua changamoto nyingi zilizokuwa zinaikabili Wilaya ya Nyasa, Miradi ya Maendeleo  imetekelezwa vizuri na kila Kata imepewa Miradi mikubwa .

“Mh Mbunge Baraza la Madiwani linakupongeza sana kwa juhudi zako za kuifanya Nyasa iwe juu.Miradi ya maendeleo imetekelezwa kwa kiwango kikubwa na hii leo umetukabidhi gari ya kubebea wagonjwa  la kituo cha Afya Mbamba-bay mh, Mbunge wetu tunakushukuru sana lakini kuna miradi mikubwa iliyoletwa na Serikali kwa kuwa wewe ni mwakilishi na tulikutuma ukaombe, tunakupongeza kwa dhati kwa kutuletea miradi ya Baraba,umeme,maji, ujenzi wa Vituo Vitatu vya afya yaani Mkili, Kingerikiti, na Kihagara na na miradi mingine mikubwa ya Elimu ” .

Aliongeza kuwa Kituo cha afya Mbamba-bay kilikuwa na gari la zamani ambalo lilikuwa ni bovu na lilikuwa likipata changamoto ya matengenezo mara kwa mara, lakini kwa sasa gari hii mpya itawasaidia wananchi wa Wilaya ya Nyasa kufuata Matibabu kokote iwapo itatokea dharula.

Aidha alimuomba mh.Mbunge kufikishia kwa dhati salamu na Pongezi kwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kutatua kero za Wananchi wa Wilaya ya Nyasa kwa kuwa awali hawakuwa na miradi mikubwa ya kimkakati kama ilivyo sasa.

Akizungumza katika Baraza hilo Mbunge wa Jimbo la Nyasa, mhandisi Stela Manyanya, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Alisema analishukuru Baraza la madiwani,  kwa ushirikiano waliompa kwa kuwa yeye peke yake asingeweza kuyafikia mafanikio aliyoyopata. Aliongeza mafanikio haya yametokana nma ushirikiano uliopo kati ya Wananchi, Madiwani, Mkurugezi Mtendaji wa Halmashauri na Mkuu wa wilaya ya Nyasa. Amewaagiza wananchi kuitunza miradi ya maendeleo iliyopo katika maeneo yao.


Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.