• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Baraza la madiwani lakemea uvuvi haramu Nyasa

Posted on: May 17th, 2023

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa limewataka wananchi kuacha mara moja uvuvi haramu.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mh.Stewart Nombo ameyasema hayo katika kikao Cha  baraza la madiwani kilichofanyika katika Ukumbi wa jengo jipya la Utawala Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa kilichofanyika Tarehe 16/05/2023 kujadili taarifa za robo ya tatu January -machi 2023.

MH.Nombo akijibu swali la diwani wa Kata ya Mtipwili mh.Anton Chialo,amefafanua kuwa Halmashauri Kwa kushirikiana na jeshi la polisi limeanza msako na imekamata nyavu haramu na wavuvi wanaotumia nyavu hizo,lengo la msako huo ni kulinda Mali asili za ziwa Nyasa Kwa faida ya vizazi vijavyo.

Hivyo Halmashauri itaendelea na msako huo na yeyote atakayekamatwa atachukuliwa hatua Kali za kisheria.

Kwa upande wake Mkuu wa Divisheni ya kilimo ushirika uvuvi na mifugo Bernard Semwaiko amesema anaendelea na doria itakayohakikisha inatibu ugonjwa wa kutumia nyavu haramu japokuwa anakutana na changamoto ya wavuvi ha kupeana taarifa pindi msako unapoanza na huwa wanaficha nyavu.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Maafisa habari/Tehama wapewa Mafunzo Ruvuma

    May 29, 2023
  • Dc-Nyasa TASAF NI Kiboko Cha utatuzi Kero za wananchi

    May 23, 2023
  • Uvuvi haramu marufuku ziwa Nyasa, wenye Nyavu haramu wajisalimishe

    May 18, 2023
  • Kikao Cha kamati ya Lishe

    May 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.