• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

BARAZA la habari Tanzania MCT latoa mafunzo ya kujieleza na uhuru wa upatikanaji wa habari

Posted on: June 14th, 2022

Baraza la habari Tanzania (Media Council of Tanzania - MCT)  kwa kushirikiana na Jumuiya ya Mawakili Afrika Mashariki ( East Africa Law Society - EALS) wametoa mafunzo kwa waandishi wa habari na Maafisa Habari, mawasiliano na Uhusiano  Serikalini kwa lengo la kujadili kuhusu sheria ya haki ya kupata  taarifa ya mwaka 2016 yaliyotolewa tarehe 11 Juni 2022 jijini Mbeya.

 Akizungumza katika mafunzo hayo Mtendaji Mkuu wa Jumuiya ya mawakili Afrika Mashariki, Wakili David Sigano alisema kuwa mafunzo hayo yamelenga kutoa elimu juu ya uhuru wa kujieleza kwa waandishi wa habari, dhana ya vyombo vya habari kwa jamii pamoja na uhuru wa vyombo vya habari kwa kuzingatia sheria na kanuni za uandishi kulingana na Sera ya habari nchini Tanzania.

Amewataka waandishi wa habari kufanya kazi kwa uadilifu  na kushiriki katika  kufanya mazoezi bora ya kimataifa katika kushikilia uhuru wa kujieleza pamoja na namna bora ya uandishi wa habari za kiuchunguzi, habari za  utamaduni wa kimataifa pamoja na mabadiliko ya sheria mbalimbali za uandishi wa habari.


Wakili Sigano aliongeza kuwa uhuru wa vyombo vya habari ni muhimu katika kulinda haki za binadamu kwa kutoa haki ya kupokea taarifa pamoja na haki ya kutoa taarifa kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari

Naye Paul Malimbo (Media Monitaring and Press freedom Violation Tanzania) amewataka waandishi wa habari kuunga mkono shughuli mbalimbali za maendeleo zinazofanywa na Serikali katika jamii ikiwemo na kuandika habari zinazohusiana na zoezi la Sensa ya watu na makazi linalotarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu ili kusaidia wananchi kuwa na uelewa na kushiriki katika zoezi hilo kikamilifu.

Mwisho. 

Announcements

  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • Wananchi wa Kata ya Kihagara Wilayani nyasa Kujenga Sekondari ya pili

    June 27, 2022
  • Madarasa Lituhi Sekondari

    June 27, 2022
  • NYUMBA ya Walimu Lituhi

    June 27, 2022
  • Serikali yawaita kazini kada za Ualimu na Afya

    June 27, 2022
  • View All

Video

DC. Nyasa akabidhi pikipiki kwa Maafisa Ugani
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.