• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

ASILIMIA YA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI WILAYA YA NYASA YASHUKA.

Posted on: December 2nd, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabela Chilumba amesema Kasi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi Wilaya ya nyasa imepungua kwa mwaka 2018 ukilinganisha na takwimu za upimaji za mwaka 2017.

Aliyasema hayo hivi karibuni (tar.01.12.2018) wakati akihutubia wananchi katika kijiji cha Lumeme Kata ya Lumeme alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani ambapo kiwilaya yaliyofanyika katika kata hiyo.

Bi Chilumba alifafanua kuwa kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi katika Wilaya ya nyasa imepungua toka asilimia 2.1 mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 1.3 katika mwaka 2018 na kupitia uhamasishaji wa kampeni mbalimbali watu wengi wamejitokeza kupima kama ifuatavyo, kwa mwaka 2017 jumla ya watu waliopima walikuwa 59894 kati yao wanaume walikuwa 26,358 sawa na asilimia 44 na wanawake walikuwa 33,536 sawa na asilimia 56.

Aliongeza kuwa waliogundulika kuwa na maambukizi walikuwa 1237 sawa na asilimia 2.1 wanawake walikuwa 724 na wanaume walikuwa 513.kwa mwaka 2018 hadi Septemba jumla ya waliopima walikuwa 79599 ambapo wanaume walikuwa 47,490 sawa na asilimia 60 na wanawake walikuwa 32109 sawa na asilimia 40. waliogundulika kuwa na maambukizi ya walikuwa 1,051sawa na asilimia 1.3 wanawake walikuwa 533 na wanaume walikuwa 518.

Hata hivyo mkuu wa wilaya aliwahamasisha wanaume wote katika Wilaya ya Nyasa  kupima ili wajue afya zao na kutokuwa waoga wa kupima afya zao na kutegemea majibu ya wenza wao ambao wameonyesha ujasiri wa hali ya juu ya kupima na kujua afya zao.

Pia alitoa wito kwa jamii kupima kwa hiari ili waweze kutambua afya zao na kujua kama wameathirika ili waweze kuanza kutumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi dawa ambazo serikali hutoa bure kwa lengo la kuwajengea uwezo na kuboresha afya za wananchi wake ambao wameathirika na virusi vya Ukimwi.

Naye Kaimu mganga mkuu wa Wilaya ya Nyasa Dkt Michael Mabisi akisoma risala kwa mgeni rasmi alisema jumla ya wagonjwa 4363 wanapata dawa za kufubaza makali ya VVU katika vituo vyote 27 vya kutolea huduma hiyo kati ya hao wanaume ni 1690 na wanawake ni 2678.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.