• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

ALAT RUVUMA YAIPONGEZA NYASA NA TUNDURU

Posted on: March 9th, 2020


Wajumbe wa jumuiya ya Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (ALAT) Mkoa wa Ruvuma, wameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kwa  Usimamizi na utekelezaji  mzuri wa Miradi ya maendeleo.

Wajumbe hao wametoa pongezi hizi katika kikao cha Jumuiya ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa ( Alat) kilichofanyika, katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa hivi karibuni wakiwa katika agenda ya tathimini ya miradi iliyotembelewa na wajumbe hao wa ( ALAT) Mkoa wa Ruvuma.

Wajumbe hao walifafanua kuwa, wamefurahishwa na kasi ya maendeleo ya Utekelezaji wa miradi waliyoitembelea katika Wilaya ya Nyasa, ambayo na Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nyasa iliyojengwa katika Kijij cha Nangombo, na Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi  (VETA) unaoendelea kujengwa katika Kitongoji cha linda, Kijiji cha Luhekei Kata ya Kilosa Wilayani hapa.

Mwenyekiti  wa jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa (ALAT) Mkoa wa Ruvuma  mh. Danieli Nyambo alisema kwa niaba ya wajumbe wote waliotembelea miradi ya maendeleo katika Wilaya Nyasa  na baada ya kikao cha tathimini, wajumbe wamefurahishwa sana na miradi waliyoitembelea,  kwa kuwa imejengwa vizuri na kisasa hivyo (ALAT) mkoa inawapongeza sana kwa juhudi na ushirikiano wa viongozi na wananchi wote kwa kuwa kazi iliyofanyika ni nzuri sana.

“katika tathimini yetu ya miradi tuliyoitembelea kila mjumbe ameipongeza na ameridhishwa na utekelezaji wake hivyo nachukua fursa hii kuwapongeza sana Viongozi wa Wilaya ya Nyasa kwa ushirikiano mliouonyesha  hasa kwenye utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hasa tuliyoipitia nui mizuri na ni mfano wa kuigwa hivyo basi kama halmashauri zote mkoani hapa zikitekeleza Miradi ya maendeleo kwa namna hii tutakuwa Mkoa na  mfano wa kuigwa, Hongera sana wananyasa”  alisema mh. Nyambo.

Aidha Kikao hicho kimeipongeza Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kwa kuwa ya kwanza Kimkoa na Taifa kwa kukusanya kwa (113%) mapato ya Ndani na kuzita Halmashauri zote kufikia malengo ya kukusanya kwa asilimia mia moja na kutoa mikopo kwa wanawake,Vijana na Watu wenye ulemavu kwa kuwa ni makundi maalum yanayotakiwa kuwezeshwa katika jamii.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.