• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

OFISI YA MKUU WA MKOA RUVUMA YATEMBELEA MIRADI

Posted on: September 9th, 2019

 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma hivi karibuni,  imefanya ziara ya siku moja Wilayani Nyasa,   kutembelea miradi  itakayozinduliwa na Mwenge wa Uhuru Septemba 24 mwaka huu.

KatibuTawala Msaidizi wa Mkoa wa Ruvuma Bw. Joel Mbewa,  ambaye ni Mkuu wa Msafara huo alikagua miradi yote itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru Wilayani hapa. Miradi hiyo ni Mradi wa Kibuyu Chirizi, uliopo shule ya msingi Luhangarasi ( Kata ya Luhangarasi ), Mradi wa Kitalu Nyumba ( Kingerikiti ),Mradi wa  Bweni la wanafunzi wa kike na kiume Sekondari ya Kingerikiti (Kata ya Kingerikiti), Mashine ya Kisasa ya  kukoboa na kupanga madarajaya kahawa, ( Kingerikiti ) shamba darasa la kahawa na Mradi wa Daraja katika Mto Lumeme.

Miradi mingine ni shamba la miti (Kata yaTingi) Zahanati ya Ndondo na Mradi wa Maji wa Liparamba katika Kata ya Liparamba.

Katika majumuisho ya ziara hiyo Bw. Mbewa  amewataka Viongozi wa Halmashauri yaNyasa  kufanya marekebisho kwenye miradi iliyo na mapungufu mapema kablaya tukio la Mwenge  na kutoa wito  kwa viongozi kushirikiana katikakufanya maandalizi  kwa kuwa Mwenge wa Uhuru una umuhimu zaidi kwa kuwa unajenga umoja na mshikamano kwa wananchi.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri yaWilaya ya Nyasa Bw. Jimson Mhagama,amewashukuru Viongozi wa Mkoa wa Ruvuma,kwa kuwatembelea Wilayani Nyasa nakupita kukagua miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru. Pia amewashukuru kwa maoni yao kwa kila mradi na ameahidi kwenye mapungufu atayarekebisha kwa kushirikiana na Wataalamu na wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Imeandaliwana 

NethoC. Sichali

KaimuAfisa habari

Wilaya ya Nyasa

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.