• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA YA KWANZA KIMKOA MATOKEO DARASA LA SABA.

Posted on: January 2nd, 2019

Ufaulu wa wanafunzi wa Darasa la saba Wilaya ya Nyasa kwa mwaka 2018 umepanda kwa nafasi 85 za kihalmashauri na kuwa na ongezeko la ufaulu wa asilimia 23.6 ikkilinganishwa na mwaka 2017 na kuongoza kutoka wa mwisho kimkoa mwaka jana nakuwa wa kwanza.

Hayo yalisemwa na Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyasa Dougras Ruambo wakati akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa kipindi cha julai hadi Desemba 2018 katika kikao cha kamati ya ushauri ya Wilaya ya Nyasa kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Kepten John Komba mjini Mbamba-bay wilayani hapa.

Kaimu Mkurugenzi Ruambo alifafanua kuwa  Halmashauri ya wilaya ya Nyasa kwa mwaka2018 imeshika nafasi ya 86 kati ya 186 hivyo kuifanya Halmashauri kuwa na ongezeko la ufaulu wa asilimia 23.6 ikilinganishwa na mwaka 2017 na kuifanya halmashauri kuwa ya kwanza kufaulisha kimkoa.

Ruambo alifafanua kuwa wilaya ya Nyasa kwa mwaka 2017 ilikuwa na watahiniwa 3,937 wakiwemo wav.1991 na was 1946 kati yao watahiniwa 3896 walifanya Mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wakiwemo Wavulana 1966 na wasichana1930.Kati ya watahiniwa waliofanya Mtihani huo Watahiniwa 2181 walifaulu kujiunga kidato cha kwanza  kwa mwaka 2018 wakiwemo wavulana 1136 na wasichana1045,ufaulu huo ni sawa na asilimia 55.9 na kuifanya halmashauri yetu kushika nafasi ya 171 kati ya 186.

Aliongeza kuwa kwa mwaka 2018 Halmashauri ya Nyasa  ilikuwa na watahiniwa 3393 wakiwemo wavulana 1684 na wasichana 1709 kati yao watahiniwa 3,367 walifanya mtihani huo,wakiwemo wav 1668 na wasichana 1699.Kati ya watahiniwa waliofanya mtihani huo watahiniwa 2,679 wamefaulu kujiunga na kidato cha cha kwanza kwa mwaka 2019 wakiwemo wavuluna 1270 na wasichana 1409 ufaulu huo ukiwa ni sawa na asilimia 79.57 na kuifanya halmashauri yetu kushika nafasi ya kwanza kimkoa na kuifanya Halmashauri kushika nafasi ya 86 kti ya 186 hivyo halmashauri kuwa na ongezeko la ufaulu wa asilimi 23.6 ikilinganishwa na mwaka 2017.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi.Isabela Chilumba aliwapongeza kwa juhudi zilizofanyika kwa watendaji wote kwa kuwajibuika ipasavyo na kufaulisha kwa kiwango cha hali ya juu na kuawata kuhakikisha watendaji wote katika ngazi zote kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga na masomo ya sekondari bila kukosa na katika kuhakikisha suala hili linafanikiwa alifanya ziara ya kuhamasisha ujenzi wa madarasa na madawati katika shule zote za Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Nyasa na kufanya mikutano na bodi za shule na wajumbe wa kamati za maendeleo na kujiridhisha kuwa hakuna taizo lolote na miundombinu iko sawa kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka huu.

Aidha katika kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa wanaenda Sekondari Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina mdeme aliagiza kutokwenda likizo kwa Wakuu wa Idara na Wakuu wa Taasisi zote zilizopo katika Mkoa wa Ruvuma ili kuhakikisha kuwa Wilaya zote zenye upungufu wa madarasa na madawati kuhakikisha kuwa madarasa yanapatikana ili wanafunzi wote wanaotakiwa kuanza kidato cha kwanza 2019 Sekondari wanasoma.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.