• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Dola milioni 6 za SADC kujenga reli Mtwara Hadi Mbamba bay

Posted on: July 16th, 2021

Dola milioni 6 za SADC kujenga reli

Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imetoa dola milioni sita za kimarekani kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa reli ya kimataifa ya Mtwara mpaka Mbambabay.

Kauli hiyo imetolewa mkoani Dar es Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Jamal Kassim Ali alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari, kando ya kikao cha SADC kinachohusisha Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.

“jambo kubwa ambalo ningependa mjue ni kwamba katika mwendelezo wa vikao hivi wenzetu wa SADC wameweza kutupatia takribani dola milioni 6 kwa ajili ya kufanya upembuzi yakinifu wa ujenzi wa reli ya Mtwara mpaka Mbambabay ambayo itajengwa ili kurahisisha na kuifungua Mtwara na kanda hii ya Kusini kiuchumi, na mpaka sasa tayari SADC wametupatia pesa hizo.” amesema Waziri Jamal.

Ameongeza kuwa katika vikao vilivyopita mambo mbalimbali yamejadiliwa ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa mfuko wa maendeleo wa nchi Wanachama wa SADC, wenye lengo la kuchochea maendeleo katika nchi Wanachama na kuzitaka nchi zote za Jumuiya hiyo kushirikiana kuhakikisha mfuko huo unaendelezwa.

“Sisi kama Tanzania kama ambavyo tumekuwa vinara katika kuhakikisha masuala ya ukombozi wa SADC kisiasa, sasa tunakwenda na ajenda hii tuwe vinara katika ukombozi wa kisiasa lakini pia ukombozi wa kiuchumi, tunaomba ushirikiano wa nchi zote Wanachama wa Jumuiya ya SADC katika kufanikisha jambo hili.” amesema Waziri Jamal.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.